Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Sahihi kabisa Mkuu

Ndiyo maana sisi Wazee wenu tuna wazumu tu mnayofanya

Na hivi Trump amesema anakata misaada ya ARVs, basi mtazikumbuka ARVs feki za Bwana Madabila yule Mwenyekiti wa CCM wa DSM 😜
KUji kinga muhimu, uki zidiwa usi geuke mwenda wazimu.
 
Ungeandika WANAUME TUSIO NA AKILI, TUKUTANE HAPA. ingefaa zaidi.

MITHALI 6 32
Mtu aziniye na Mwanamke HANA AKILI KABISA
 
Back
Top Bottom