Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Kuna mmoja huyo ana mwalimu nyerere Okosongo Dam HEP.

Alijua kabisa ana pango maana muda wminhi alikuwa anauliza kama nimelidhika. Anaimba huko kijani dada mmoja heavy na tall.
 
Itakuwa una ushamba wa hali ya juu sana. Hawa wasanii ni kuwapa 600k? Kuna manzi mmoja sio msanii ila ni kama meneja wa baadhi ya wasanii... aliniomba nimkopeshe 1m nikampa kiroho safi. Kwenye kurudisha ikawa kashehe... akawa anasumbua na mimi kumla sikuwa na hayo mawazo kabisa. Kwanza siwezi lipia bao 2 hadi 3 kwa 1m wakati Sewa Bar bao ni Tsh 3000/= kwa bei elekezi. Ile hela aliirudisha kidogo kidogo hadi akamaliza deni.
Kumbe wewe ni mwanaume aise nilidhani demu .sass unajiita mama itakuwa unatoa yass
 
Dah! Eti nitoe 300k au zaidi kisa ni maarufu? Mtaani Kuna pisi Kali balaa, hao wasanii wakasome.
Jamaa mwenyewe anajiona mjanja amepata kumbe yeye ndio anepatikana,kitobo ni kilekile tu hakina utofauti na wale wa mtaani elfu 50 tu ingetosha kupata utamu uleule alioupata kwa laki 6 labda hela zake hazina kazi ya kufanya.
 
😂😂😂😂😂 nimechekaaa.
Nyie endeleeni kuwalipiaa, sahivi muwahamishie mawasiliano.
Hahaha...........kwanini unicheke Mjukuu, usinambie na wewe ulipata Mzee wa Umri wangu ulipokuwa Chuoni 😜

Mimi na hayo mambo tuko mbali mbali kabisa, si umeona nilivyokula chumvi nyingi 🤗
 
uki offer lunch au dinner, Kisha ukawa charming story za hapa na pale.

Hukosi chick mzee, hizi ni mbinu nili sikia kwa wahuni fulani huko daslam.
Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu

Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha 😜
 
Wanawake wasanii wanatofautiana nini na hawa wengine ?wapo wadada warembo na unakua nae na anakulindia penzi kibingwa na ni wazuri hakuna foleni, wasanii wanagawa sana huogopi maradhi ambayo unagharamia hadi laki6? Tamaa na sifa za ngono humaliza vijana wengi,tafuteni wapenzi wakutulia nae sio kula kula hovyo hao matapeli wa mapenzi wanaojiuza kwa gharama za kijinga na hatari ni kubwa
 
Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu

Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha 😜
Sema kweli 🤭
 
Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu

Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha 😜
Mhh babu ya kweli haya??
 
Mhh babu ya kweli haya??
Kweli hatujaonana kitambo Mjukuu, ukiniona Babu yako saivi niko natembelea Mkongojo Kwa Uzee

Ingekuwa enzi za Ukoloni Kwa Uzee huu, hata ningepewa kazi ya Kumlinda Malikia nisingekuwa na madhara 🤗
 
Back
Top Bottom