Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Hawana... Njaa kali sana. Kwa sasa mimi wananipigia sometimes kuomba tsh 100, 000 ukimwambia njoo home kuchukua anakuambia sawa nije lini? Yaani anajua anakuja kuliwa
Lete connection kizuri kula na nduguyo
 
Niliwahi kupiga Muigizaji mmoja ,kwa wafuatiliaji wa mambo mwaka 2013-2015 alikuwa yuko hot sana .

Muhuni nikanunua No ,nikampa kazi mmoja ya Mama flani pale Kaole amalize kazi , alipigwa upepo wakutosha baadae nikajulishwa ili nitoe ratiba .

Hajatulia akavushwa South Africa ,nikawa tu najipigia mfurulizo ,kilichotutenganisha ni show off zake ,nikauza code kwa mwanangu mmoja akalipia 1.7 then nikammilikishia kazi .

Jamaa akaingia na swagga zake za urembo Namibia , ,Dem kustuka ameshaliwa mara kadhaa namimi nikamunyeshea kuwa nimestukia mchongo wake japo sijaonyesha kuchukia ,baada ya hapo nikawa napiga wengi tu.....
 

Attachments

  • Screenshot_20250708_072435_Instagram.jpg
    Screenshot_20250708_072435_Instagram.jpg
    167.9 KB · Views: 43

"Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane"​


Kiswahili kinakuwa sana!, hapa mimi nimejua uliwachinja ukawapika ama hukuwapika ila uliwala!.
🤣🤣🤣

Unavyo jifanya haujui Sasa !!! Kama vile sio mambo yako dadeki
 
Back
Top Bottom