Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Sasa afadhari ule tu nauli, kuliko unanipeleka na stendi na kujifanya upo njiani, kumbe hata hujasafiri..!!! Nakaa stendi hadi usiku kumbe hujasafiri..!! utakaushwa maji wallah..!!
🤝🤝
 
Kuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Hela ya kusuka ulituma ya nini?
 
Back
Top Bottom