King_mwanamalundi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 373
- 558
Kuna Dem lilinipiga tukio sitasahau. Hiyo siku ilinibadilisha sana kwenye ulimwengu wa kubetuana.ππππ
Kuna dem nililipata (usiulize nililipataje). Nikalipanga,likasema kama vip ibuka nilipo, "uko wapi?" Kijiwe samri. Mimi huyooo, asubuhi asubuhi tu,ngoma 4+, siku ndo inaanza. Sijaingiza hata 100.
Sikuwa hata nimemtongo, na makubaliano yetu yalikuwa ni kutembeleana tu, cha ajabu nilipomwambia nimefika nikaambiwa direct "chukua room apo nakuja chap" π³π³π³π³π³π³
Kama robo saa huyu hapa. Mara anapokea sim nisizozielewa. Kabla hata hatujasalimiana,nashangaa nikaombwa 30k, kwamba kuna mtu anamsumbua anamdai ivo amtoe chap ili tuje 'tuchapane' kwa amani.
Nikampa, the moment yule dem anamaliza toa mguu tu pale guest,my intuition told me nilikuwa nimefanya kosa kubwa sana. Ila nyege zikafanikiwa kunihadaa.
Baada ya hapo sim yake ikawa kiwete kupokeleka mpaka siku moja aliweka status ya malaya mwingine nikamwambia nipe namba yake. Kuonyesha yule dem jinsi gani amepinda,akasema yule ni mdg ake anakaa goms,kama nataka namba ake nimlipe.