Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Kufanya maujinga yote hayo mtu huwa kachora hadi picha namna atakavyochinja! 😆🤣🤣.

Si unajua kiwewe anachokuwanacho mwanaume kusubiria K mpya namna anavyoikamia!

Halafu mtu aje abwagwe hatua ya mwisho ya kufanikisha dhamira yake na hakuna lolote analoweza kutanzua hiyo situation!

Ni lazima tu aishie kutukana na lawama kama hizo.
Usiombe ukaangukiwa na "Darwin law of natural selection" ya upigaji wa nauli unakuwa successful selected still unapumua 😂😂😂
 
Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.

huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.

Sasa nimemcheki nione kama anaweza kuja mkoa niliopo tupumzike na kuilaumu kidogo serikali, yeye akaniashiria atakuja nimwezeshe tu nauli na pesa ya kuacha apo kwao, ikawa imeisha iyo.

siku ya safari akaniashiria aliondoka asbh na zile gari mpya zinazosafirishwa kwenda nchi jirani (transit) na akawa ananijuza kila kituo alipo.

ilikuwa ni safari ya kutwa nzima ilikuwa aingie mji nilipo kuanzia saa moja moja usiku hivi. wakati anaongea na simu nilikuwa naskia sauti nzitonzito nkahisi bila shaka itakuwa ni abiria wengine au ni wanaweza kuwa wahusika wengine wa iyo gari, lakn nikaona nkaona sio kesi hayanihusu ayo.

wakati huu ile mida ya gari kufika ikawa inakaribia nayeye akaniashiria wamekaribia nisogee kituoni. basi bana ile moja moja mimi nikawa pale kituoni. km ili yo kawaida vituoni makelele kila kona hata kusikizana vzuri ni mziki.

bdae nilivoongea nae akanambia ameshashua ananitafuta hanioni nkampa maelezo ya kufika pale nilipo maana niliona tukianza kutafutana hatutoboi. mm nilikuwa nimechill mahali flani palepale kituoni nikamuelekeza yeye aje pale nlipo akasema sawa. ila hakutokea. nkaamua kumpigia nimuulize yuko wapi. simu yake ikawa haipatikani hewani. piga sana simu haipo hewani kabisaa.

basi wazo moja likaniambia huyu inawezekana simu yake imeisha chaji imezimika maana kutwa nzima alikuwa hewan. lakn pia kwa nisivo waamini madem (hasa hawa wajanja wa mijini) nkahisi inawezekana bidada ameshapata bwana mpya mulemule kwenye ile gari wameshuka wote. ndomaana bidada ameamua kujizimisha simu kuua kesi. nkajisemea haya yote yanawezekana ila ngoja nimpe muda kama vp atanifuta.

basi nikaona nisubiri kidogo kama itatokea hatokuja au kupiga simu mm nichimbe zangu hom. kweli bana nmekaa pale kama lisaa ivi na zaidi sikaona mtu wala kupigiwa simu. nkajua yale mawazo yangu yalikuwa na ukweli.

nkasepa zangu maskan na nyege mshindo. yule dem hakupiga tena simu usiku ule wala kesho yake. namm sikuona haja ya kumtafuta tena mtu kama huyo ila nkajua yale nliyoyafikiria yalikuwa na ukweli.

Alikuja kunitafuta baada ya muda sana kama mwezi hivi umepita ndo ananipigia huku anajichekeshachekesha kama mwehu hivi. namm nkapokea simu yake kwa sauti kavu km ile ya roboti kama simjui vile. ananipa visingizio vya kutoonekana siku ile nikajua anatunga uongo tu sikuwa na interest na mazungumzo yake tena alimaliza kuongea nkambloki mazima apoapo. pambafff...

ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
Ungeweka namba ya huyo Demu, inaonekana anatombeka kirahisi mnoo.

Ungekua umewasaidia wahuni
 
Sijawai pigwa nauli ila nimewahi kujiandaa vyema kabisa, kuku mzima+ mapochopocho kibao alafu anasema kapata ugeni nilivyomuandalia nimpe boda apeleke kwake.
Siku hiyo nilikula kwa awamu tatu kuanzia saa 5 usiku mpaka kunakucha😂
Nilimtumia elfu 20 , Boda elfu 5, 15 anywe chai.

Hakuja , napiga simu namsikia anaongea na rafiki ake 'Kanaume kenyewe Katoto kwangu ".

Anyway, nikajifanyaga mjinga, nilikujaga mtombaa baadae mpaka akawa anamtukana Bwanake matusi
 
Ungeweka namba ya huyo Demu, inaonekana anatombeka kirahisi mnoo.

Ungekua umewasaidia wahuni
Huyo hafai atasumbua wahuni, haheshimu miadi ni mwepesi kuliko maharage ya mbeya.

Malaya mzuri ni yule unayetuma na ya kutolea halafu umpate.
 
Nauli za hapa hapa mjini nimeliwa sana.
Imefika wakati demu akisema ana nyege namwambia chukua boda njoo sehemu fulani nalipa hapahapa.
Ukiona anakuwa mkali ujue mwongo huyo hana nia ya kuja ila anatafuta hela ya kula.
Ukweli kabisaa 100%.

Hasa Manzil wenu wa Dar, wao wañaish Maisha ya Milo mitatu tu Kwa siku .
 
Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.

huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.

Sasa nimemcheki nione kama anaweza kuja mkoa niliopo tupumzike na kuilaumu kidogo serikali, yeye akaniashiria atakuja nimwezeshe tu nauli na pesa ya kuacha apo kwao, ikawa imeisha iyo.

siku ya safari akaniashiria aliondoka asbh na zile gari mpya zinazosafirishwa kwenda nchi jirani (transit) na akawa ananijuza kila kituo alipo.

ilikuwa ni safari ya kutwa nzima ilikuwa aingie mji nilipo kuanzia saa moja moja usiku hivi. wakati anaongea na simu nilikuwa naskia sauti nzitonzito nkahisi bila shaka itakuwa ni abiria wengine au ni wanaweza kuwa wahusika wengine wa iyo gari, lakn nikaona nkaona sio kesi hayanihusu ayo.

wakati huu ile mida ya gari kufika ikawa inakaribia nayeye akaniashiria wamekaribia nisogee kituoni. basi bana ile moja moja mimi nikawa pale kituoni. km ili yo kawaida vituoni makelele kila kona hata kusikizana vzuri ni mziki.

bdae nilivoongea nae akanambia ameshashua ananitafuta hanioni nkampa maelezo ya kufika pale nilipo maana niliona tukianza kutafutana hatutoboi. mm nilikuwa nimechill mahali flani palepale kituoni nikamuelekeza yeye aje pale nlipo akasema sawa. ila hakutokea. nkaamua kumpigia nimuulize yuko wapi. simu yake ikawa haipatikani hewani. piga sana simu haipo hewani kabisaa.

basi wazo moja likaniambia huyu inawezekana simu yake imeisha chaji imezimika maana kutwa nzima alikuwa hewan. lakn pia kwa nisivo waamini madem (hasa hawa wajanja wa mijini) nkahisi inawezekana bidada ameshapata bwana mpya mulemule kwenye ile gari wameshuka wote. ndomaana bidada ameamua kujizimisha simu kuua kesi. nkajisemea haya yote yanawezekana ila ngoja nimpe muda kama vp atanifuta.

basi nikaona nisubiri kidogo kama itatokea hatokuja au kupiga simu mm nichimbe zangu hom. kweli bana nmekaa pale kama lisaa ivi na zaidi sikaona mtu wala kupigiwa simu. nkajua yale mawazo yangu yalikuwa na ukweli.

nkasepa zangu maskan na nyege mshindo. yule dem hakupiga tena simu usiku ule wala kesho yake. namm sikuona haja ya kumtafuta tena mtu kama huyo ila nkajua yale nliyoyafikiria yalikuwa na ukweli.

Alikuja kunitafuta baada ya muda sana kama mwezi hivi umepita ndo ananipigia huku anajichekeshachekesha kama mwehu hivi. namm nkapokea simu yake kwa sauti kavu km ile ya roboti kama simjui vile. ananipa visingizio vya kutoonekana siku ile nikajua anatunga uongo tu sikuwa na interest na mazungumzo yake tena alimaliza kuongea nkambloki mazima apoapo. pambafff...

ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
Asante kwa story nzurii 😊
 
Nilimtumia elfu 20 , Boda elfu 5, 15 anywe chai.

Hakuja , napiga simu namsikia anaongea na rafiki ake 'Kanaume kenyewe Katoto kwangu ".

Anyway, nikajifanyaga mjinga, nilikujaga mtombaa baadae mpaka akawa anamtukana Bwanake matusi
😁😄😄🤣🤣😜 jamani nyie.
 
Huyo ney unayemsemea ndo huyu 😁 Kilawo
View attachment 3255534
ila watu mafukunyuku🙌🙌daah.

ila saizi hawa wala fea wamejua wameshashtukiwa. wamebadili staili.

saizi kama nauli ni elfu 10 anakwambia yeye atachangia elfu 4 wew umpe iyo iliyobaki. ukimtumia tu iyo elfu 4 unakula bloku la nguvu apoapo nayeye anapotea jumla.
 
Back
Top Bottom