Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Ni wale matured na wanaojielewa lakini sio hawa wa "simu yangu imepasuka kioo"
ukimpigia tu anatk ummalizie matatizo yake yote
pango limeisha
kusuka
marejesho
mboga
ada za watoto
....
 
Kuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
 
nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni
inauma sn hlf ukute mnara ulikuwa unasachi masaa yote ayo. hlf unaenda kulala mwenyewe kama upanga apo lazma upooze gazabu kwa tonye moja matata sana ndo usngiz uje😂😂
 
Majuzi tu hapo kuna mmoja kaleta ujanja huo anakaa kilometer chache tu nilipo,ameelekeza nimtumie nauli kwa kiasi alichotaka baada ya kumtumia ananipigia akiwa na wenzie ananiambia hii haitoshi huku wakicheka kwa sauti,kosa alilofanya hakua ametoa ile pesa,nilifahamu hilo baada ya kuingia kwenye menu pendwa ya YAS,kilichofata mpaka sasa ananilaumu na kunipa majina yote mabaya....
 
Back
Top Bottom