Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Majuzi tu hapo kuna mmoja kaleta ujanja huo anakaa kilometer chache tu nilipo,ameelekeza nimtumie nauli kwa kiasi alichotaka baada ya kumtumia ananipigia akiwa na wenzie ananiambia hii haitoshi huku wakicheka kwa sauti,kosa alilofanya hakua ametoa ile pesa,nilifahamu hilo baada ya kuingia kwenye menu pendwa ya YAS,kilichofata mpaka sasa ananilaumu na kunipa majina yote mabaya....
Haahaa ukaamua kuchomoa betri🤣
 
Vijana kwanini hamna standards.Hiyo mizoga mnaokotaga wapi.Anyway mimi huwa nauliza mwanzo kabisa ikiwa mdada ni anajishughulisha au jobless ili nijiweke mbali na vimbwanga kama hivyo😀😀.

Vijana jifunzeni kulinda brand hata kama upwiru ni mkubwa kiasi gani dont be desperate.Utashindwa kufanya maamuzi sahihi.

Mbinu nyingine ya kuondoa vitete au desperation hakikisha una mademu hata watatu.Yaani plan A,B,C alafu uone kama utakuwa unawashobokea hovyo hawa malaya.Hakikisha katika hao mademu zako kuna mpenda ngono huyo simu moja keshafika🤝.

📌📌📌VIJANA LAZIMA MJIFUNZE KUWA NA OPTIONS,UPWIRU NI MBAYA SANA!!!
 
Mi demu akisema nitume nauli na sijawahi kumnyandua najua uwezekano wa kupigwa 100%, naruka huo mtego.
Kiuhalisia ukimuitisha na hayupo mbali sana ni bora aje na usafiri utalipa akifika😀😀😀Au ajilipie na akifika nimrudishie kama hataki aendelee kujikunyata na uchi wake huko alipo,pumbavu!!!
 
Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.

huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.

Sasa nimemcheki nione kama anaweza kuja mkoa niliopo tupumzike na kuilaumu kidogo serikali, yeye akaniashiria atakuja nimwezeshe tu nauli na pesa ya kuacha apo kwao, ikawa imeisha iyo.

siku ya safari akaniashiria aliondoka asbh na zile gari mpya zinazosafirishwa kwenda nchi jirani (transit) na akawa ananijuza kila kituo alipo.

ilikuwa ni safari ya kutwa nzima ilikuwa aingie mji nilipo kuanzia saa moja moja usiku hivi. wakati anaongea na simu nilikuwa naskia sauti nzitonzito nkahisi bila shaka itakuwa ni abiria wengine au ni wanaweza kuwa wahusika wengine wa iyo gari, lakn nikaona nkaona sio kesi hayanihusu ayo.

wakati huu ile mida ya gari kufika ikawa inakaribia nayeye akaniashiria wamekaribia nisogee kituoni. basi bana ile moja moja mimi nikawa pale kituoni. km ili yo kawaida vituoni makelele kila kona hata kusikizana vzuri ni mziki.

bdae nilivoongea nae akanambia ameshashua ananitafuta hanioni nkampa maelezo ya kufika pale nilipo maana niliona tukianza kutafutana hatutoboi. mm nilikuwa nimechill mahali flani palepale kituoni nikamuelekeza yeye aje pale nlipo akasema sawa. ila hakutokea. nkaamua kumpigia nimuulize yuko wapi. simu yake ikawa haipatikani hewani. piga sana simu haipo hewani kabisaa.

basi wazo moja likaniambia huyu inawezekana simu yake imeisha chaji imezimika maana kutwa nzima alikuwa hewan. lakn pia kwa nisivo waamini madem (hasa hawa wajanja wa mijini) nkahisi inawezekana bidada ameshapata bwana mpya mulemule kwenye ile gari wameshuka wote. ndomaana bidada ameamua kujizimisha simu kuua kesi. nkajisemea haya yote yanawezekana ila ngoja nimpe muda kama vp atanifuta.

basi nikaona nisubiri kidogo kama itatokea hatokuja au kupiga simu mm nichimbe zangu hom. kweli bana nmekaa pale kama lisaa ivi na zaidi sikaona mtu wala kupigiwa simu. nkajua yale mawazo yangu yalikuwa na ukweli.

nkasepa zangu maskan na nyege mshindo. yule dem hakupiga tena simu usiku ule wala kesho yake. namm sikuona haja ya kumtafuta tena mtu kama huyo ila nkajua yale nliyoyafikiria yalikuwa na ukweli.

Alikuja kunitafuta baada ya muda sana kama mwezi hivi umepita ndo ananipigia huku anajichekeshachekesha kama mwehu hivi. namm nkapokea simu yake kwa sauti kavu km ile ya roboti kama simjui vile. ananipa visingizio vya kutoonekana siku ile nikajua anatunga uongo tu sikuwa na interest na mazungumzo yake tena alimaliza kuongea nkambloki mazima apoapo. pambafff...

ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
MAumivu ni yale yale hata ukimblock. Pole sana mkuu
 
Hujasema ulituma shi ngapi kama nauli, ili tupime kiwango chako cha ufala.
Mi nataka nimtetee huyu bwege, maana hata wewe mkuu ungepigwa tu.

Malaya mmesoma shule moja mkapotezana tangu hapo, ungeshindwaje kumwamini?

Ni sawa na mke mnayeishi naye, akitaka kukufanyia tukio ni vigumu sana kushitukia mchezo.
 
Kuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Huyo ney unayemsemea ndo huyu 😁 Kilawo
Screenshot_20250302-085905.jpg
 
Vijana kwanini hamna standards.Hiyo mizoga mnaokotaga wapi.Anyway mimi huwa nauliza mwanzo kabisa ikiwa mdada ni anajishughulisha au jobless ili nijiweke mbali na vimbwanga kama hivyo😀😀.

Vijana jifunzeni kulinda brand hata kama upwiru ni mkubwa kiasi gani dont be desperate.Utashindwa kufanya maamuzi sahihi.

Mbinu nyingine ya kuondoa vitete au desperation hakikisha una mademu hata watatu.Yaani plan A,B,C alafu uone kama utakuwa unawashobokea hovyo hawa malaya.Hakikisha katika hao mademu zako kuna mpenda ngono huyo simu moja keshafika🤝.

📌📌📌VIJANA LAZIMA MJIFUNZE KUWA NA OPTIONS,UPWIRU NI MBAYA SANA!!!
Kuna wadada wenye kazi nzuri, ila mizinga wanayopiga bora unge-date. na ambao hawana kazi ujue Moja 🫢 komasavaa
 
kwa zile hekaheka nlizokuwa nazisikia kwenye simu naamini ni kweli alisafiri ila akapata bwana kwenye uo usafiri maana angetulia tu kwake kungekuwa na hali ya utulivu zaidi kwenye maongez ya simu.
Basi huyo atakuwa ni malaya mbwa.
 
Ila inauma na unakuta mzigo uliupania kinoma
Kufanya maujinga yote hayo mtu huwa kachora hadi picha namna atakavyochinja! 😆🤣🤣.

Si unajua kiwewe anachokuwanacho mwanaume kusubiria K mpya namna anavyoikamia kwa mawazo ya kuvunja chaga!

Halafu mtu aje abwagwe hatua ya mwisho ya kufanikisha dhamira yake na hakuna lolote analoweza kutanzua hiyo situation!

Ni lazima tu aishie kutukana na lawama kama hizo.
 
Back
Top Bottom