😊😊😊Hahhahhaa...sijui kwanini nimecheka😅😅😅
Mungu ni mwema2017 igunga. Mimi na mdogo wangu. Ila hatukutoka hata na mchubuko mmoja. Tuligongana na semi.View attachment 1426858View attachment 1426859
Sent using Jamii Forums mobile app
we hujawahi kunusurika??Hahhahhaa...sijui kwanini nimecheka😅😅😅
duh😮😮😮Natokea Dar kuja Arusha bus likapasuka tairi la mbele upande wa dereva halafu tupo spidi,tulichoshukuru Mungu hakuna gari iliyokuwa inatokea upande wa pili hususani lori kwani dereva wa busi ilibidi apambane kupunguza spidi kwanza ili kuweka busi pembeni,tulikuwa tunayumba barabara nzima kwa dakika kama nne hivi. Hapo ndiyo nilipowasifu wanawake,waliporomosha maombi hatari wakati sisi tunatafuta madirisha ya kuruka. Eneo lilikuwa Hedaru kwa wanaofahamu
Nimewahi na nishaiandika humu hamu sina!we hujawahi kunusurika??
au mods mnasemaje???
hahahahah pole sanaMimi bado, ila nimewahi kunusurika kufa,nilizama ziwani toka siku hiyo mpaka sasa ni zaidi ya miaka 20 ila naogopa sana maji.
polen sanaaNilipata ajali mbili ndani ya week moja, ya Kwanza daladala ya Mbagala - Mwenge, tuligongwa na Fuso, pili Gairo kondoa na mj bus, lilikata break kwenye mteremko mkali bahati nzuri halikuingia korongoni.kifo kimoja na majeruhi kadhaa.
ahsante boss, yani saivi hata na pesa juu siwezi kuogelea
Ngoja nisome!Wangari Maathai hiki hapa nimekipata,
Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa.. - JamiiForums
Hapa ndio niliamini ibirisi yupo around the corner
Ilikuwa mwaka 1994 tunatoka dar kuja mwanza enzi hizo mabasi classic ni scania ndo kama ilivyo tutong kwa sasa, leyland ndo kama makopolo. Tulipanda scania inayobeba mizigo juu. Ilikuwa ukitoka dar utalala singida mida ya saa sita ama saba hivi. Basi bwa mzigo ukaimbaaaaaaa ngoma sita tupo singida. Tukalala pale. Asubuhi ikaondoka kuitafuta sekenke. Bwanaweee mida kama saa tano hivi nlikuwa sina seat na tulikuwa 9 watu familia moja tunaenda christmass nakumbuka ilikuwa tr 22 dec kitu kikaitika hadi miguu juu. Ilikuwa basi la super champion, tulipewa bodi na semi dereva akapanda tuta la pembeni bus ikapitiliza hadi nje ya barabara.nakumbuka tulikuwa zaidi ya abiria 120 kwenye bus maana tuliosimama tu tulisimamia mguu mmojammoja. Na nlikuwa nimesinzia. Nlikuwa ndo nimemaliza la saba tunaenda likizo homeNatumai hamjambo wakuu,
Kusafiri imekua sehem ya maisha yetu ajili yakutimiza majukum yetu japo kuna nyakati hugharimu maisha na kusababisha vilema kwa manusura.
Binafsi nimenusurika mara kadhaa but mara ya kwanza nilikua natoka Moro-Dar kwa gari ndogo, tairi ya mbele ilichomoka gari ikabinuka matairi yakawa juu bt mungu ni mwema hakuna aliedhurika sana isipokua majeraha madogo.
Mara ya pili Kigoma-Mwanza kwa bus, basi liligonga ng'ombe wanaokatiza karibu 20 nakupoteza mwelekeo kila1 wetu alisali sala ya mwisho akijua hakuna kupona bt mungu ni mwema tulinusurika gari haikuanguka.
Mara ya tatu, ilikua kwa dala dala gari lilishika moto mbele kila mtu aliruka kujiokoa, hapa nilipata majera kiasi ajili ya heka heka zakujiokoa.
Karibu nawe utupe visa vyako.
Mwenyewe nimecheka mnoooHahhahhaa...sijui kwanini nimecheka[emoji28][emoji28][emoji28]
Una Comment zako binafsi uwa zinanichekesha sana..Wangari Maathai hiki hapa nimekipata,
Tuliowahi 'kuchungulia kaburi' tukutane hapa.. - JamiiForums
Hapa ndio niliamini ibirisi yupo around the corner