Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

Basi Mungu ni wa neema na rehema,Uponyaji wake hauchunguziki.
 
Kwann unahatarisha maisha yako namna hii
 
Ikawajee mkuuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Maana hapo leseni huna si hela nyingi ilikutokaaa
 
Aisee sasa waliokuwa wanaendesha trekta hawakukusaidia????
 
Kwamba ulitibiwa ukaruhusiwa kabla hujazinduka?
 
Huyu dada bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…