Ni kweli. Hata tatizo la umaskini Tanzania ni la watanzania wenyewe kwa ujumla wetu hatujakomboka kifikra. Hata ombaomba wa barabarani walio wengi tatizo sio umasikini bali tatizo ni kukata tamaa. Miongoni mwa mambo mabaya kabisa hapa duniani ni kukata tamaa ya kutafuta riziki.Unaweza kudhan matatizo ya watu wengine yanasababishwa na watu kumbe tunakosea kuamin hvyo,matatizo yanasababishwa na ww mwenyewe.
Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.[/QUOTE]Kaa hivohivo na mawazo ya kijima. Alhaji Dangote mwenyewe anakopa pesa kibao na biashara zinaenda!
Point...Pole sana mkuu,hii thread yako inanikumbusha ndugu na jamaa waliofirisika,nami kupitia wao nimejifunza vitu vingi sana katika maisha,kwanza nnaamini hakuna ajuaye kesho yake,pil kufirisika haina kesho,tatu usijivune ukiwa navyo(usiwadharau wengine),nne kuwa na nidhamu ya pesa(kimatumizi),tano epuka kukopa kiwango kikubwa cha mkopo na pia usiwe mwepesi kukopesha,na n.k
hahahaaa!! zungushaaaa, wape bia haoooo!!! wanywe mpaka waombe poa!! kampuni kubwa hiiiiiiii!!!, bill inakuja 70,000/= mfukoni una 50,000/= unachukua pikipiki fasta huku wadau unawaacha wanakula mvinyo, unaenda kuvuta 200,000/= ili imalize kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnahama viwanja huku group linakufuata nyuma kila MTU na bebi wake unawanywesha wewe!!!
Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.[/QUOTE]Kaa hivohivo na mawazo ya kijima. Alhaji Dangote mwenyewe anakopa pesa kibao na biashara zinaenda!
Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.[/QUOTE]Kaa hivohivo na mawazo ya kijima. Alhaji Dangote mwenyewe anakopa pesa kibao na biashara zinaenda!
Sawasawa tuko pamoja ukianguka kimaisha /kibiashara, usishangae kaza buti kimbiza utafanikiwa tuu. mimi yalisha nikuta hayo huko nyuma tena sio mara moja huwa sishangai walakujuta japokuwa ya naumiza.Mkuy pambana,hela iliyopotea hata ukiifikiria hairudi.Mi ningekuwa na roho nyepesi ningeshawehuka kitambo.tena bora wale waliofilisika kwa kuzitumbua atleast watasema walikula bata.mie hasara zote nimezipata kwenye biashara,lakini kukata tamaa kwangu ni mwiko.alimradi unapumua,hutakiwi kukata tamaa wala kusononeka.komaa,kaza mpaka kieleweke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaaani mlemleeee!!! halafu unajifanya uko bize na miamalaaa, unapishana na wadosi kwenye ATM, ukikuta ATM haina salio unaanza kulala kwamba wanazingua wanakuchelewesheni kwenye biashara!! kumbe unawahi baa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
zikiisha hautatamani hata kupasogelea!! unaona hadi vibinti vinaingia wewe salio linasoma tshs 1600.50/= ( maana yake haitoki) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu huna hata vocha.
Mimi sina biashara, nimehamua kufa maskini, pesa kidogo niliyonayo ninamalizia kwenye pombe.Niliwahi kuzichanga huko nyuma, nikafungua grocery! Kwa kuwa nami nilikuwa mwanachama, mwanzoni nilikuwa na wateja wazuri na waaminifu. Baada ya muda mikopo ikaanza. Mteja akikopa na deni likiwa kubwa, anahama kijiwe. Nakumbuka mara ya mwisho nilifungia crate tupu kwani hata chupa walishakopa zikiwa na pombe ndani. My Take: Biashara ya pombe kama na wewe mmiliki ni mnywaji, usinywee pale, ni hatari kwa usalama wa grocery yako.
mkuu mkwanja kama huwa una ka jini flani ukiwa mfukoni unakuwasha utoke toke ivi. haikawiii kujikuta unakula vitumbua vya buku 3, ujakaa sawa unakula miwa mara maembeHaa ha ha...!! Na wew itakuwa discpline ya pesaa ni zeroo kabisa....
Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.
Hata mimi mkuu nkiwa na Hela bora ninunue kitu aisee lakini nkiitunza naipukutishaa yoteemkuu mkwanja kama huwa una ka jini flani uliwa mfukoni unakuwasha utoke toke ivi. haikawiii kujikuta unakula vitumbua vya buku 3, ujakaa sawa unakula miwa mara maembe
yaani usione kitu kimepita, mara umehonga wakujue wewe ni nani? mishkaki kidogo soda humalizi chupa unajikuta umetamani malta
aliye weza kuwa na heshima ya pesa hongera kwake kwangu mimi najitahidi ila wapiiii
Niwmbie asilimia 50 ya milion 5 ni shiling ngp??[/QUOTE]Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.
Hahhaha...Noma sana.Niliwahi kupata milioni 120 nikiwa na umri wa miaka 26 kipindi hicho nipo mererani, nilichezea hiyo hela kwa muda wa miezi 8 nikabaki na laki mbili bank
HaahDah..... Shimo lilitema...nikakamata kama 500m....nikazunguka dunia nzima.... Siku nashuka JNIA najikuta Nina $75 tu....nikaona nikalewe tu[emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu!
Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ......
Point mkuu..Wengi wa watu walipitia mafanikio makubwa sana na tunajuta...Anasa na starehe nzuri ni zile unakula na familia ukubwani maana hapo ndipo umuhimu wa pesa na uhitaji wa pesa unapoonekana...vijana hakikisheni mnaweka pesa zenu kwenye Asset na sio Liabilities....nunua viwanja kadri uwezavyo...wekeza kwenye mashamba hata kama ulimi sasa hivi... kula bata kwa akili sio kwa sifa ili watu wakuone...wanaokusifia sasa ukifilisika haohao wanakucheka na kukudharau.