witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Tajirimsomi kuhusu wahindi nna ushahidi wa dadaangu baba mmoja mama mmoja!...Wanakosa story na we mtaongea nn ss
Aliwapiga wahindi kama 60m hivi, akanunua Benz, kiwanja, na furniture ndani, alichokosea na yeye mara uzalendo umemshinda akaanza kwenda na Benz lake job!
Wee navyoongea now wamemchunguza ila yy hajapelekwa mahakamani, tunachokiona sisi ni kwamba kalogwa, benz kushnei now ( alipata nalo ajali Moro) kiwanja kauza, alitaka kufanya biashara ya mbao sijui anashirikiana wa jamaa gani na alichangia 15m, huyo jamaa yake kapata ajali na vibaka wamemwibia hizo pesa!
Yaani na ana mikosi hataree!