Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Mm binafsi hasara kubwa niliyowahi kupata ni kupoteza 1,200,000 (million moja na laki mbili) niliitoa nikiamin nitapata faida kutokana na kushawishiwa na mtu niliemuamin haraka ambae niliku nafanya nae kaz ofisi moja lakin sikufanikiwa kurudisha hata sent 10 ya hela ile baada tu ya kuitoa.

Kuna muda huwa najilaum lakin Kuna muda pia huwa nasema pengine lilikua ni fundisho kwangu kwan nilikua sijakomaa sana kiakili umri wangu ulikua ni miaka 20 tu, baada ya kupata hasara ile nilifanya ni Siri kubwa sana na sikumshirikisha mtu yoyote hata wazaz wangu wala rafiki niliogopa kupata lawama au kuchekwa... niliumia sana had Sasa kabla sijafanya chochote cha gharama huwa naongea sana na mzee wangu kumuomba ushauri.
 
huko nje huwa mnaende kutafuta nini.....maana ni wengi wakipata hela mara dubai, uk, usa au south....tufungueni macho
 
Hela za kudanga most of the time if not all times huwezi kufanyia kitu cha maana. Trust me
 

Wee utakuwa mzee wa badooo hahahaha
 
Hii imenichoma mpaka mimi huku...pole sana kiongozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka japo stori inahuzunisha...pole mkuu
 
Vipi selina ulimpata????
 

usikate tamaa jombaa

komaa
 
Hi pia had kufikia mwka 2018 mwishoni account ilikuwa inasoma milion 14 + sas jamaa angu akanipa wazo la kununua bajaji mm nilkuwa na bajj tayar ila wazo langu lilikuwa hardware nifungue. Na pia ninunue kiruku. Aise nilipo nunu tu Bajaj mpya ile bajaji ni kamasijui nisemeje yaan kila siku majanga hayaishi. Sas bajaji ile mpk kufikia leo inazamani yamilioni 4.5 imajing muda wote cjawaifanya lolote kwapesa hizo za bajij nakumbukaga najuta ila namshukuru tu mungu kwa vile tayari Nina kiwanja na tofali zipo.

Nawaza tu jinsi ya kuanza nyumba nakosa namna mnk sasa hv cna kaz zaid ya kiriku tu nategemeaa bajaji nishauza kwa hasara kubwa nijifikiriaaa cpatai majibu mnk natakiwa kuoa na pesa zinaa.
 
Pole mkuu,mawazo/mipango mazuri ni yale au ile upangayo kabla hujapata pesa...maana panakuwa na utulivu na analysis za kutosha haya baada ya kupata pesa ni ubatili mtupu alafu opgopa sana mawazo ya kuletewa sio sahihi kwako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww ni bwege mtozeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…