Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Mm binafsi hasara kubwa niliyowahi kupata ni kupoteza 1,200,000 (million moja na laki mbili) niliitoa nikiamin nitapata faida kutokana na kushawishiwa na mtu niliemuamin haraka ambae niliku nafanya nae kaz ofisi moja lakin sikufanikiwa kurudisha hata sent 10 ya hela ile baada tu ya kuitoa.

Kuna muda huwa najilaum lakin Kuna muda pia huwa nasema pengine lilikua ni fundisho kwangu kwan nilikua sijakomaa sana kiakili umri wangu ulikua ni miaka 20 tu, baada ya kupata hasara ile nilifanya ni Siri kubwa sana na sikumshirikisha mtu yoyote hata wazaz wangu wala rafiki niliogopa kupata lawama au kuchekwa... niliumia sana had Sasa kabla sijafanya chochote cha gharama huwa naongea sana na mzee wangu kumuomba ushauri.
 
Ilikua 2015 nilipata kazi ya miez 6 programu iliokua chini ya wizara ya ardhi na wadernmark fulan nikapiga mill 35 aiseee nikanunua hiace used moja mil 12 hela nyingne nilikula bataa nikaenda southafrica nikakaa mwezi mzima kurud sina hata mia ile hiace kwakua nilinunua used walinipiga ikaanza kusumbua saaana baadae ikapata ajali na sikua na ile insurance kubwa nayo ikawa kama imepotelea hewan ikauzwa screpa kwa bei ya kutupwa aiseee kila nikiikumbuka ile hela roho inaniuma saana laiti kama ningetuliza kichwa vzr ningeweza fanya mradi endelevu mzuri na ningekua mbali kibiashara..ikabidi nirud tena kuajiriwa kwa vihela kiduchu
huko nje huwa mnaende kutafuta nini.....maana ni wengi wakipata hela mara dubai, uk, usa au south....tufungueni macho
 
Nilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap
Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana
Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa
Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena ela za madanga,nimeolewa na nina tafuta hela kialali
Msiwashangae kina wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka
Hela za kudanga most of the time if not all times huwezi kufanyia kitu cha maana. Trust me
 
mimi ndo ngedere kabisa nilifanya kazi kwenye kampuni ya gas ndan ya miaka mi3 nilipata kama milion 10 nikanunua pikipki yakutembelea nikawa kazi yangu kuwafata mademu na kwenda kula bata beach demu nikimpata mtandaon hata awe anakaa kibaha namfata na pikipiki kiukwel sikuamin kama ile hela ingekuja kuisha nilikuwa naiona nyingisana kumbuka mii nmetokea familia ya kimasikin iv nnavyoandika hapa nmerud naish hom kwa baba na mama sina hata mia mfukon

Wee utakuwa mzee wa badooo hahahaha
 
Due acheni kunikumbisha, nilikua nafanya kazi sehemu flani wafanya kazi wenzangu wakashawish kampuni iwe inatoa mkopo Mara pa ikakubaliwa, na wenzangu walichukua mkopo mkubwa na Mimi nikachukua 8ml, do kwanza sijazigusa mwezi mzima najaza mipango kwenye makaratasi, usiku na amka napanga mipango, nikapata wazo nidroo pesa zote nikae nazo Ndani, nikadraw, siku moja kama demu wangu kaniambia mbona sikuhiz unapiga mahesabu sana na makaratasi mengi mezani, nikamwambie Hamna mipango tu, Mara akajua Nina pesa, akaja home sijui alinitime VIP akaiba zote, kuna machinga nilimuambia aniletee pas original asijal gharama, siku kaja nachek bahasha sioni pesa nampigia simu selina hapatikan, nauliza nkaambiwa ameenda morogoro, jamaa anasema pasi elfu 40, kaiacha hapo,
Hii imenichoma mpaka mimi huku...pole sana kiongozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka japo stori inahuzunisha...pole mkuu
 
Vipi selina ulimpata????
 
mimi ndo ngedere kabisa nilifanya kazi kwenye kampuni ya gas ndan ya miaka mi3 nilipata kama milion 10 nikanunua pikipki yakutembelea nikawa kazi yangu kuwafata mademu na kwenda kula bata beach demu nikimpata mtandaon hata awe anakaa kibaha namfata na pikipiki kiukwel sikuamin kama ile hela ingekuja kuisha nilikuwa naiona nyingisana kumbuka mii nmetokea familia ya kimasikin iv nnavyoandika hapa nmerud naish hom kwa baba na mama sina hata mia mfukon

usikate tamaa jombaa

komaa
 
Hi pia had kufikia mwka 2018 mwishoni account ilikuwa inasoma milion 14 + sas jamaa angu akanipa wazo la kununua bajaji mm nilkuwa na bajj tayar ila wazo langu lilikuwa hardware nifungue. Na pia ninunue kiruku. Aise nilipo nunu tu Bajaj mpya ile bajaji ni kamasijui nisemeje yaan kila siku majanga hayaishi. Sas bajaji ile mpk kufikia leo inazamani yamilioni 4.5 imajing muda wote cjawaifanya lolote kwapesa hizo za bajij nakumbukaga najuta ila namshukuru tu mungu kwa vile tayari Nina kiwanja na tofali zipo.

Nawaza tu jinsi ya kuanza nyumba nakosa namna mnk sasa hv cna kaz zaid ya kiriku tu nategemeaa bajaji nishauza kwa hasara kubwa nijifikiriaaa cpatai majibu mnk natakiwa kuoa na pesa zinaa.
 
Hi pia had kufikia mwka 2018 mwishoni account ilikuwa inasoma milion 14 + sas jamaa angu akanipa wazo la kununua bajaji mm nilkuwa na bajj tayar ila wazo langu lilikuwa hardware nifungue. Na pia ninunue kiruku. Aise nilipo nunu tu Bajaj mpya ile bajaji ni kamasijui nisemeje yaan kila siku majanga hayaishi. Sas bajaji ile mpk kufikia leo inazamani yamilioni 4.5 imajing muda wote cjawaifanya lolote kwapesa hizo za bajij nakumbukaga najuta ila namshukuru tu mungu kwa vile tayari Nina kiwanja na tofali zipo. Nawaza tu jinsi ya kuanza nyumba nakosa namna mnk sasa hv cna kaz zaid ya kiriku tu nategemeaa bajaji nishauza kwa hasara kubwa nijifikiriaaa cpatai majibu mnk natakiwa kuoa na pesa zinaa.
Pole mkuu,mawazo/mipango mazuri ni yale au ile upangayo kabla hujapata pesa...maana panakuwa na utulivu na analysis za kutosha haya baada ya kupata pesa ni ubatili mtupu alafu opgopa sana mawazo ya kuletewa sio sahihi kwako.
 
Due acheni kunikumbisha, nilikua nafanya kazi sehemu flani wafanya kazi wenzangu wakashawish kampuni iwe inatoa mkopo Mara pa ikakubaliwa, na wenzangu walichukua mkopo mkubwa na Mimi nikachukua 8ml, do kwanza sijazigusa mwezi mzima najaza mipango kwenye makaratasi, usiku na amka napanga mipango, nikapata wazo nidroo pesa zote nikae nazo Ndani, nikadraw, siku moja kama demu wangu kaniambia mbona sikuhiz unapiga mahesabu sana na makaratasi mengi mezani, nikamwambie Hamna mipango tu, Mara akajua Nina pesa, akaja home sijui alinitime VIP akaiba zote, kuna machinga nilimuambia aniletee pas original asijal gharama, siku kaja nachek bahasha sioni pesa nampigia simu selina hapatikan, nauliza nkaambiwa ameenda morogoro, jamaa anasema pasi elfu 40, kaiacha hapo,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww ni bwege mtozeni
 
Back
Top Bottom