Sure kabisa uza kiwanja au nyumba maana thamani ya kiwanja najua haiwezi kufikia milioni 50Kama una uhakika wa kupata hiyo profit ya 250M why usiuze hicho kiwanja au kukikopea dan ukafanya hicho unachotaka kufanya....hacha kufanya watu mazuzu
kumbe ndo Mana mnapataga Sana mimba kuliko utajiriNilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap
Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana
Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa
Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.
Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
kwamba milioni 4 ni mawe au?Million 4 nazo ni pesa za kusimulia watu?
hapo kwenye kushindia mikate 🤣🤣 tena unaila alafu unashushia na maji ya bombaJamanii Pesaa ya BUMUU sio pesaa..yani unapewa kilaki 6 ndani ya week hujahonga hata.. Pesaa hunaa...!! Unaanza kushindiaa mikatee..Ivii mshahara unawezaje kutosha..!??? Discipline ya helaa wanayo wachache snaa
Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.
hiyo ilinitokea miaka fulani ya 2013-2016 nilikuwa nafanya kazi kwa wachina, zile pesa za wizi ni kama maruhani nilizinywea sana mno ukizingatia enzi ya JK mabosi walikuwa wanakuja kutumia pesa za ufisadi, kasheshe alipoingia jamaa ndio nikapunguzwa sitakaa nisahau hata mia 200 ya kununua wanzuki ilinipitia kushoto na rasmi nikawa mlevi wa gongoUliweka heshima bar nini
Niwe mkweli sijawahi kupata pesa zaidi ya ile 50m cash niliyopata nikiwa na miaka 34.
Sasa hela zenyewe za msimu.bora ziwe zako. Mwisho wa siku zikiisha. Unaweza ukaumwa ugonjwa wa kumiss ATM.
Ni kweli nyie ni MAZUZU mana hamuelewi.Kama una uhakika wa kupata hiyo profit ya 250M why usiuze hicho kiwanja au kukikopea dan ukafanya hicho unachotaka kufanya....hacha kufanya watu mazuzu
Hili nalo neno.huwezi kuwa tajiri bila kufilisika
Ugumu unatofautiana kati ya mty na mtu, mwingine anaweza akapata huduma zote muhimu na akaona maisha bado si mazuri, Mwingine akapata zote lakini kutokana na mazingira aliyojijengea maisha yakawa magumu kwake kwa sababu anataka unakua unataka mambo mengi wakati huna maandalizi yoyote.Ila watu wenye displin ya hela huishi maisha magumu sana.
Wee ukishawapata unawagegeda na kuwatupa kule hawa usijidanganhe eti wanakupenda. Mvue kyupi mgegede kisha msahaunilioteaga million 3 sehem fulan(kiujanja ujanja)
KOSA.mademu walikuw wakinisifia sifia ujinga na mm kichwa hichooo.
ikawa n bata na mm mim na bata ,
ASUBUH tuu ,text kama 8 za mademu hasa maslayqueen.
nilikuja kuishiwa kifala sana hata wale mademu wakawa wananikwepa [emoji1][emoji1]nikiwapigia c utasikia halloo sikusikii vizur mic mbov
ila mademu wasenge sana fikiria kipind nna mkwanja walikuw wananiita baby baada ya kuishiwa wakantania et billionaire mambo.
niliingia machimbon nikabahatisha m6.8 aseeee kichwa kiliwaka moto[emoji3][emoji3] sema ishu za madem niliachana nazo wakashangaa nmerud kuw smart tena .
ila pesa bana.
NB: katika Hustler zangu zote wimbo wa mr blue PESA ndo ulikuw the best kwangu ndo maana uwa hauchuji kwangu
Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu.
Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo
Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji hata aje AY hawamsikilizi
Nshaenda graduu pale zanaki nikasababisha graduu iharibike coz vurugu kubwa ilitokea mana watoto wote wazuri walikuja nilipokaaa kila mtu anataka nimjue masela wa Azaboy sindio wakamaind kilinuka balaaaaa
Ndio tupo kwenye vikao vya mwisho hapa kumalizia na hii tunakaa maana tumepauka safari hii akili kumkichwa!
Sent using Jamii Forums mobile app