Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Kama una uhakika wa kupata hiyo profit ya 250M why usiuze hicho kiwanja au kukikopea dan ukafanya hicho unachotaka kufanya....hacha kufanya watu mazuzu
Sure kabisa uza kiwanja au nyumba maana thamani ya kiwanja najua haiwezi kufikia milioni 50
 
Nilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap
Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana
Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa
Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.
Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
kumbe ndo Mana mnapataga Sana mimba kuliko utajiri
 
Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.
 
Uliweka heshima bar nini
hiyo ilinitokea miaka fulani ya 2013-2016 nilikuwa nafanya kazi kwa wachina, zile pesa za wizi ni kama maruhani nilizinywea sana mno ukizingatia enzi ya JK mabosi walikuwa wanakuja kutumia pesa za ufisadi, kasheshe alipoingia jamaa ndio nikapunguzwa sitakaa nisahau hata mia 200 ya kununua wanzuki ilinipitia kushoto na rasmi nikawa mlevi wa gongo
 
Kama una uhakika wa kupata hiyo profit ya 250M why usiuze hicho kiwanja au kukikopea dan ukafanya hicho unachotaka kufanya....hacha kufanya watu mazuzu
Ni kweli nyie ni MAZUZU mana hamuelewi.
 
Ila watu wenye displin ya hela huishi maisha magumu sana.
Ugumu unatofautiana kati ya mty na mtu, mwingine anaweza akapata huduma zote muhimu na akaona maisha bado si mazuri, Mwingine akapata zote lakini kutokana na mazingira aliyojijengea maisha yakawa magumu kwake kwa sababu anataka unakua unataka mambo mengi wakati huna maandalizi yoyote.
 
nilioteaga million 3 sehem fulan(kiujanja ujanja)

KOSA.mademu walikuw wakinisifia sifia ujinga na mm kichwa hichooo.
ikawa n bata na mm mim na bata ,

ASUBUH tuu ,text kama 8 za mademu hasa maslayqueen.

nilikuja kuishiwa kifala sana hata wale mademu wakawa wananikwepa [emoji1][emoji1]nikiwapigia c utasikia halloo sikusikii vizur mic mbov

ila mademu wasenge sana fikiria kipind nna mkwanja walikuw wananiita baby baada ya kuishiwa wakantania et billionaire mambo.

niliingia machimbon nikabahatisha m6.8 aseeee kichwa kiliwaka moto[emoji3][emoji3] sema ishu za madem niliachana nazo wakashangaa nmerud kuw smart tena .

ila pesa bana.
NB: katika Hustler zangu zote wimbo wa mr blue PESA ndo ulikuw the best kwangu ndo maana uwa hauchuji kwangu
 
Wee ukishawapata unawagegeda na kuwatupa kule hawa usijidanganhe eti wanakupenda. Mvue kyupi mgegede kisha msahau
 
Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu.

Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo

Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji hata aje AY hawamsikilizi

Nshaenda graduu pale zanaki nikasababisha graduu iharibike coz vurugu kubwa ilitokea mana watoto wote wazuri walikuja nilipokaaa kila mtu anataka nimjue masela wa Azaboy sindio wakamaind kilinuka balaaaaa

Ndio tupo kwenye vikao vya mwisho hapa kumalizia na hii tunakaa maana tumepauka safari hii akili kumkichwa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom