Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Duh, nahitaji kufahamu apa, Ulikua unafanya biashara gani kwa Huo mida mpaka zote uambulie hasara. Na Currently unajishugulisha na nini?
 
nilipata 5.5 M kutoka abroad kwa ndg angu mmoja hivi kama ada then nikawa nikanunua kitanda na godoro kama 350k nikanunua sim 400k laptop ya 400k nikalipa kodi 500k nikawa nimetumia kama 1.55M hii nyingine iliyobaki sikuelewa imeenda wapi zaidi ya kununua nguo na kupigia ruti ikakata niliishi kama mbwa koko tena wale watembea jalalani kuchakura mabaki at last laptop niliyokua nayo ikabidi niisukume nikapata kama 350k ingawa ningeweza uza zaidi manake ilikua chuma na mimi niliinunua kwa mtu mwenye shida

Slowly nikawa nanunua kuku nasukuma huku faida ikipatikana nanunua beberu wadogo nawahasi nawafuga time hii niko mwanza naonekana kama mwanachuo mzururaji ambaye alikua anaenda nzega na kurudi mara kwa mara japokua mambo yalianza kunyooka.....aisee biashara ya kuku ilikuja kudidimia baada kuibuka ugonjwa wa Kuku hasara ilikua kubwa sijakaa saa niko mwanza naambiwa mbuzi wameugua kimeta wanakufa tu maisha yakarudi kua magumu hapo nimekula sehemu ya ada na hapo naunga unga tu muhimu nilikua nimelipa kodi whole year na nyumba hazikua ghali sana

Mara ya pili nikapata 4M hii ndio ilikua mbaya nilikua kichaa
Aisee nilikua nakula bata sio kawaida nimekula totoz za kila aina na kwakua Mimi sio mlevi aisee nimekula totoz ikafikia time nikawa naona mwili umechoka kiuno hoi na mgongo unaita na nilikua napiga show kama vile nnaemkula ananilipa kws lengo na kumkomoa kumbe bwana malaya hakomolewi wengine wakaniganda mpaka leo hata nikimuona rafiki ake status nikaulizia namba hatokaa anipe zaidi ya kusema nimgegede Yeye

Within 2½ months nikawa nimekata pesa ATM yaani mpunga ukakata ...siku nimegundua mpunga umekata ni liposoma balance kwenye risit nikakuta 56000 aroooo[emoji23][emoji23] nilitafakari pale atm kwa kina sana nikajikuta nimeanza kusali bila kujua

This time around sitaki wanawake tena nikijua nimuuzaji nampotezea kabisa yani kuna namna siwahisi.....yaani sina hisia nao kabisa kwa sasa

Aisee
Wanawake ni catalyst ya mtu kumaliza pesa
Ukiendekeza mambo ya kula uroda unaishia kumaliza kila kitu

This time around mambo sio mabaya sana japokua nashukuru hizo moments zimenipa nidhamu ya pesa ninaheshimu pesa kwa sasa aisee hua nikiamka lazima niisalimie kwanza ndio niendelee na mambo mengine

Si siku nyingi mtonyo utaingia baada ya muda mrefu huu wenyewe ni kwa ajili ya maisha tu ila nimeupangia makubwa sio kawaida
 
Sasa wee hela unaitafuta unataka ile na nani kama sio warembo?
Aisee mie bora niendelee kupanga lakini hela yangu itaishi kwa mbususu tuu. Dunia yenyewe hii tunapita tuu wacha tuenjoy mbususu
 
Watanzania walio wengi wezi km wewe na wakishaiba hawajui hela waifanyie nn, mwisho wa siku wanaishia kufanya kufuru km ulizofanya baadae wanaanza kujuta

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Daaah pole sana!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Wengine wana mikosi ukidiriki kumwambia unachotaka kufanya basi katu hufanikiwi hivyo siri ya mipango yako ndiyo siri ya mafanikio."

Yawezekana kweli
 
Huu uzi ni motivational sana

Huhitaji kwenda kwa motivational speakers

Soma huu uzi na ujifunze

Mimi binafsi niliwahi kila msoto zamani kidogo nilikopa hela nikaitumia ndivyo sivyo.

Ilipoisha nilijilaumu sana japo nashukuru haikuwa pesa ndefu sana miezi ha kulipa mkopo ulikuwa michumgu

Uchungu wake ulinifunza jambo.

Baada nikawa Niko stable nikawa nahonga sana kutumia laki 4 kwa siku na demu ilikuwa ni upumbavu mkubwa sana niliofanya

Pesa naisotea kuipata mwisho wa siku inaishia kizembe sana

Nilikaa chini nikatafakari sana nikasema sirud Tena huu ujinga.

Siku hizi Niko makini sana pesa ystaka nidhamu Kali sana uwe bahiri,roho mbaya, hasa kwa watu mnaojuana saidia tu watu baki ambao hamna uhusiano wowote.
 
Ni kweli..hata sisi nyumbani mama alipokua ana maisha safi ndugu walikua hawakauki nyumbani..wengine hata hatuwajui sasa hivi hali mbaya mno nyumbani hatuna ndugu anayekuja hata kugonga hodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…