Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Kama riba ni laana mbona mabenki yanakopesha kwa riba na yanazidi kustawi kila cku?

Mbna mitandao ya cmu inakopesha kwa riba na hatuoni ikianguka miaka yote?

Mbona bodi ya mikopo (HESLB) inakopesha wanachuo kwa riba na ipo inadunda tu??
 
Izo ulizozitafuta kihalali imezifanyia nini?
 
Tatizo WATU wengi ufulia kwasabab wanashika vijichenji kama milion 100 kwenda chini na starehe kibao. Ukikamata dollar million moja hata ukila bata kiasi gani huwez fulia
Dah maisha haya 100m nayo vijichenji wakat sijawah shika laki 5 ya pamoja...kwel vidole havilingani ...ngoja tuendelee kujifunza

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
na sisi tunao kopa kikoba
 
Tatizo WATU wengi ufulia kwasabab wanashika vijichenji kama milion 100 kwenda chini na starehe kibao. Ukikamata dollar million moja hata ukila bata kiasi gani huwez fulia
Sasa unadhani ukipata dollar million moja utafanya starehe hapa bongo..sii utaanza kusafirisha wanawake dubai ukagegede....starehe hazina mwisho ata hiyo million dollar unafilisika tuu ukiendekeza starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…