King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Kama riba ni laana mbona mabenki yanakopesha kwa riba na yanazidi kustawi kila cku?Fanya biashara zote ila usiingie kwenye riba either kwa kukopa au kukopesha...mwanzo utaona unafanikiwa ila baadae Mungu atakuchapa kofi ambalo hutakuja kulisahau maishani mwako mwote mpak unazama kaburini.RIBA ni LAANA...ukitaka kuangamia fatana na RIBA. BIASHARA imebarikiwa ila RIBA IMELAANIWA. Hilo ndio kosa lako ulilolifanya mkuu.
Mbna mitandao ya cmu inakopesha kwa riba na hatuoni ikianguka miaka yote?
Mbona bodi ya mikopo (HESLB) inakopesha wanachuo kwa riba na ipo inadunda tu??