Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Fanya biashara zote ila usiingie kwenye riba either kwa kukopa au kukopesha...mwanzo utaona unafanikiwa ila baadae Mungu atakuchapa kofi ambalo hutakuja kulisahau maishani mwako mwote mpak unazama kaburini.RIBA ni LAANA...ukitaka kuangamia fatana na RIBA. BIASHARA imebarikiwa ila RIBA IMELAANIWA. Hilo ndio kosa lako ulilolifanya mkuu.
Kama riba ni laana mbona mabenki yanakopesha kwa riba na yanazidi kustawi kila cku?

Mbna mitandao ya cmu inakopesha kwa riba na hatuoni ikianguka miaka yote?

Mbona bodi ya mikopo (HESLB) inakopesha wanachuo kwa riba na ipo inadunda tu??
 
Nilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikuwa hela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap

Nikaja kupewa tena mil 1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana

Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa

Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.

Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
Izo ulizozitafuta kihalali imezifanyia nini?
 
Tatizo WATU wengi ufulia kwasabab wanashika vijichenji kama milion 100 kwenda chini na starehe kibao. Ukikamata dollar million moja hata ukila bata kiasi gani huwez fulia
Dah maisha haya 100m nayo vijichenji wakat sijawah shika laki 5 ya pamoja...kwel vidole havilingani ...ngoja tuendelee kujifunza

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
FAIDA katika biashara SIO RIBA...Yaani hata kama utanunua kitu kwa sh 100 na ukakiuza kwa milioni 1...ile laki 9 na 99 mia 9 na 90 HAIWI RIBA ..ni FAIDA na ni HALALI kwako...RIBA huja pale unapokoka sh 100 halafu ukaambiwa urudishe Sh 110...hili ongezeko la sh 10 ndio RIBA ..na INA LAANA hata kama ni NDOGO katika macho yako.
na sisi tunao kopa kikoba
 
Tatizo WATU wengi ufulia kwasabab wanashika vijichenji kama milion 100 kwenda chini na starehe kibao. Ukikamata dollar million moja hata ukila bata kiasi gani huwez fulia
Sasa unadhani ukipata dollar million moja utafanya starehe hapa bongo..sii utaanza kusafirisha wanawake dubai ukagegede....starehe hazina mwisho ata hiyo million dollar unafilisika tuu ukiendekeza starehe
 
Back
Top Bottom