Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Kwaiyo mkuu hukufanikiwa kujenga ata Kachumba kamoja dar?
 
Aaaaah ndgu maliza story iyo bna
 
Du pole ila hakuna ulipokosea na wala wife wako hajakosea...inawezekana kwenye biashara usimamizi ulikuwa mbovu, biashara hukuijua vzr, nk...tatizo sie kapuku tunafikiri ukianza biashara one time lazima utoboe,...elimu ya biashara na ujasilia mali hatuna ukiachana na ngekewa...ku spot type ya business na location pamoja na usimamizi makini ndio vitu muhimu mnooo ndio hapa mtu anaanza na mtaji wa laki 3...akitoboa mnashangaa.

Bado ulikuwa uko poa jipange upya kamanda katisha hiyo likizo uaanze upya mapambano.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo wa bajaj alaaniwe
 
Usiombe uende baa na ATM utajuta
 
300m ukala na malaya 10 guest ndani ya siku 10 umefilisika?hii guest iko ibinza au monaco france...sijakusoma clear
 
Mkuu uko wapi mbona kama umeiba stori yangu?
 
Uza hicho Kiwanja upunguze madeni.

Pili , usikope kibwege. Ukiona umeanza ku-top up ujue madeni yameshakushinda.
 
Uza hicho Kiwanja upunguze madeni.

Pili , usikope kibwege. Ukiona umeanza ku-top up ujue madeni yameshakushinda.
Shida siyo kutop up shida ni unafanyia nini cha kumshauri punguza matumizi kama uko kijijini Lima nguvu kazi ww na mkeo labda na kibarua mmoja usuize pikipiki kama umeuza basi ndyo kosa kubwa ulilofanya Kama umekopa na kununua usafiri basi jua usafiri unatoa faraja kubwa snaa kiwanja chako usiuze Kwa sasa wee tulia kipato ulichonacho kitumie ipasavyo bila kusahau wazazi tafuta kikoba ujiunge kirakusaidia snaa Ila kikubwa sana usifanye top-up Kwa miaka mi3 mbeleni
 
Nipe connection ya huyo dogo kama hutojali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…