Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Pole
 
Babu pole wew

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maisha yana siri nzito.!
 
Hivi kuna uhusiano gani Kati ya kukosa pesa na njaa?..
Maana ukiwa na pesa hata njaa husikii.

Ila uwe huna pesa sasa!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli kabisa mwanawane....ndio maana mie nashindwa kuelewa mtu tajiri anakuwa na litumbo likubwa🤣🤣🤣
 
Ila magu jmn mbna alikuwa kiazi HV Ila nilikuwa namkubali ila kwa ishu zake hz hpn kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kafariki?
 
updates hali ikoje huko kwa baba na mama?
 
Ukifilisika ndo utajua Nani mchaw wako
Binafs sinaga moyo wa huruma.

Nafunga vioo kabisa. Inabaki salamu TU.

Kila nikiombwa Ela, jibu Ni "Sina hela"
Watajiongeza wenyewe kua jamaa hataki shobo
We' jamaa kwenye hili tunafanana tabia. Lazima ujue kuwa na uso mkavu na usiwe na huruma za kijinga. Hata Yesu hakuwa na huruma za kijinga. Kuoneana haya ndiyo kunafanya tunawakubali tena wale waliotutenga na kutuumiza. Hilo kwangu NO, sina aibu kwenye hilo.

Big Up Bruder!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…