Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Baada ya miez miwili kuanzia leo nitakuwa na milion 7 sasa Hapa nilipo natafakar zikiingia nizifanyie nini
 
Bora uokoke ukiwa nazo au?
ndio ukioka tajiri dini itakua ina umuhimu ita shape your morality, thinking and discipline basi hautakua na mawazo ya kutegemea dini ikusaidie katika shiida lakini ukiwa masikini utakua unatafuta wachawi wako ni kina nani, na kutegemea dini kwa kila jambo.
 
Nilipo maliza chuo nilipigana sana, Mungu akaninyoshea mkono nikanunua mtumbwi used na mashine nikaanza shughuli za uvuvi.

Sema kweli niliona naenda kuwini maisha. Lkn mwezi machi mtumbwi ulizàmishwà na upepo. Niliwaza mpaka nikajaribu kujiua kwani nikunywa vidonge 26 nà pombe lkn Mungu hakutaka. Saivi sina Raman kabsa
 
Ujue nimegundua pamoja na sababu nyingine. Sababu mojawapo ni maisha tuliyokulia,kwahiyo ukizifumania unataka kufanya vile vyote ulivyokosa kwakua tu hukua na hela
Spot on mate.
 
Huyu kafilisika kwa ujinga wake,
 
Baada ya miez miwili kuanzia leo nitakuwa na milion 7 sasa Hapa nilipo natafakar zikiingia nizifanyie nini

Nakushauri nenda karikoo kajifunze biashara zote wanazofanya machinga kuhusu faida zake na hasara zake.. kabla hela yako haijaingia.

Kisha chagua moja mapemaa.. hela ikiingia tu anza biashara hiyo..

Usisubiri hela ifike bado hujapata wazo
 
Upo ziwa Gani? Nawezaje PATA vifaa kama Hivyo?
 
Kweli...
Ila ndo hivyooo
 
Pole sana..ilikua wapi hii?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
St joseph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…