We learn the hard way always!Somo hili nimelipokea kwa uchungu mkali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We learn the hard way always!Somo hili nimelipokea kwa uchungu mkali sana.
ndio ukioka tajiri dini itakua ina umuhimu ita shape your morality, thinking and discipline basi hautakua na mawazo ya kutegemea dini ikusaidie katika shiida lakini ukiwa masikini utakua unatafuta wachawi wako ni kina nani, na kutegemea dini kwa kila jambo.Bora uokoke ukiwa nazo au?
Daah!We learn the hard way always!
Spot on mate.Ujue nimegundua pamoja na sababu nyingine. Sababu mojawapo ni maisha tuliyokulia,kwahiyo ukizifumania unataka kufanya vile vyote ulivyokosa kwakua tu hukua na hela
Huyu kafilisika kwa ujinga wake,Kuna ndugu yangu alikua anafanya kazi zanzibar, kwa siku alikua analipwa 35 na hayo matips hadi laki anaipata kikawaida kabisa kila akienda kazini, ilikua kwenye ma hotel haya ya kitalii.
Hii corona ilivyoingia zanzibar walikua very strictly kidogo, na wazungu wakaisha kabisa.
Mwamba alifilisika kiasi kwamba akarudi hapa dar akawa dereva bodaboda mpaka leo hajasimama tena. Kila ukiongea nae anailaumu sana hio corona.
Baada ya miez miwili kuanzia leo nitakuwa na milion 7 sasa Hapa nilipo natafakar zikiingia nizifanyie nini
"Kurudisha mpira kwa kipa" ni kurudi kijijini mkuu. Wengi maisha yakishatupiga ndio hua tunakumbuka tulikotoka.Kafariki?
Upo ziwa Gani? Nawezaje PATA vifaa kama Hivyo?Nilipo maliza chuo nilipigana sana, Mungu akaninyoshea mkono nikanunua mtumbwi used na mashine nikaanza shughuli za uvuvi.
Sema kweli niliona naenda kuwini maisha. Lkn mwezi machi mtumbwi ulizàmishwà na upepo. Niliwaza mpaka nikajaribu kujiua kwani nikunywa vidonge 26 nà pombe lkn Mungu hakutaka. Saivi sina Raman kabsa
Victoria mkuu! Vifaa vipo ni pesa yako tuUpo ziwa Gani? Nawezaje PATA vifaa kama Hivyo?
Kweli...Mimi binasfi cjawahi filisika lakin nakili wazi kabsa kma asingekuwa mke wangu kuniongoza vema kwenye mambo ya kheri mhhh bac mpaka sasa ningekuwa nishafilisika zamaaaaan!! Mwanamke wangu shujaa wangu hela natafuta mimi lakin matumiz napangiwa hela inayobaki tunafanyia jambo la maana kabsa ningekuwa mimi mwenyewe nicngeweza
Mimi muda huu ndiyo nahisi hivyo kuwa kuna mkono wa mtu.Dah![emoji22]
Kuna MDA unaweza hisi umerogwa
Ni pm number Yako ya WhatsappVictoria mkuu! Vifaa vipo ni pesa yako tu
Pole sana..ilikua wapi hii?Nilipo maliza chuo nilipigana sana, Mungu akaninyoshea mkono nikanunua mtumbwi used na mashine nikaanza shughuli za uvuvi.
Sema kweli niliona naenda kuwini maisha. Lkn mwezi machi mtumbwi ulizàmishwà na upepo. Niliwaza mpaka nikajaribu kujiua kwani nikunywa vidonge 26 nà pombe lkn Mungu hakutaka. Saivi sina Raman kabsa
St josephNikiwa chuo nilipataga mkopo, lakini kukawa na hitilafu Fulani boom wakawa hawaniingizii. Nikaendea kufuatilia. Kufikia mwaka wa pili wa masomo wakaniingizia maboom yote at once ambayo sikuwa napewa. Mama yangu! Mwisho wangu wa kushika pesa ndefu ilikuwa ni laki moja, Sasa akaunti ikasoma milioni 2 kama na laki nane hivi. Ilikuwa mtu akilia shida kidogo tu nachomoa hata elfu50 Nampa. Mwaka wa pili wa masomo haukuisha pesa zikapukutika zote. Nikawa kama kuku tu, lilikuwa fundisho kubwa sana na majuto sana. Nilipomaliza chuo nikawa na adabu sana na pesa.
Kupenda madem muhimu mwanawane....ndio raha ya duniaAsee wengi tunapita njia hizo hizo... hela haikai utadhan tumerogwa. Kupenda mademu anasa n pombe ndio chanzo