Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Ujerumani uliendaje, tupeani tip maana bongo wengine bado kitendawili
 
Watu wa aina hiyo wapo wengi sana tuu kitaa hata Mimi nawajua
 
Yupo mmoja kule kijini kwetu yeye trip za ulaya Amerika kitu cha kawaida tuuu kumbe pro max chawa ila ukimuona V8 Kali sana anatamba mtaani
 
Halafu mzee ukifulia hata watu unaoamini watakukopesha wanakua wanakukwepa au hawakupatii pesa hata kama enzi zile walikua mnakopeshana nyote, kiukweli kufulia kuna dhalilisha nakushusha hadhi ya kiume aiseee.mwanaume kufulia heri demu ndio afulie ila msela inakuleta msongo wa mawazo sana kibaya zaidi uwe na madeni na wategemezi kama watoto wadogo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Una hoja usikilizwe
 
Tulifanya biashara na jamaa zangu wawili kupeleka viazi mviringo Malawi,tukapata hela balaa!,Tulipoenda mara ya2tulikuta mzigo kibao viazi vyetu viliozea sokoni hata nauli ya kurudia tulikosa tukazama kwa Wasabato wa Malawi wakatuchangia!
 
Aiseee poleni Sana hukuficha hata koroshp kidogo
 
Khaaa we una Roho ngumu tigo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…