Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nilijikuta nahela nyingi sana ...Nikanunua trector beralus milion 32

Nyingine nikajenga nyumba ambayo naishi mpaka leo , baada ya hapo

Starehe zikanizidi ....Viwanga sio viwanga mara hela ikakata ....Kabisa ...Waliokuwa marafiki wakanikwepa ...Mpk sasa nafikiria nikipata hela nirudi tu ugerumani nikajipange upya!! Maana bongo. Pagumu
Ujerumani uliendaje, tupeani tip maana bongo wengine bado kitendawili
 
Alipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanakuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba [emoji28][emoji28][emoji28].

Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watu wa aina hiyo wapo wengi sana tuu kitaa hata Mimi nawajua
 
Yupo mmoja kule kijini kwetu yeye trip za ulaya Amerika kitu cha kawaida tuuu kumbe pro max chawa ila ukimuona V8 Kali sana anatamba mtaani
 
Ulifika fedha kiasi gani ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamini nikope laki 2 nimtibu mgonjwa ananijibu hana kitu ilihalu nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mimi wa kukopa mtu leo laki mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa akafa.
Halafu mzee ukifulia hata watu unaoamini watakukopesha wanakua wanakukwepa au hawakupatii pesa hata kama enzi zile walikua mnakopeshana nyote, kiukweli kufulia kuna dhalilisha nakushusha hadhi ya kiume aiseee.mwanaume kufulia heri demu ndio afulie ila msela inakuleta msongo wa mawazo sana kibaya zaidi uwe na madeni na wategemezi kama watoto wadogo.
 
Alipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanakuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba [emoji28][emoji28][emoji28].

Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Halafu mzee ukifulia hata watu unaoamini watakukopesha wanakua wanakukwepa au hawakupatii pesa hata kama enzi zile walikua mnakopeshana nyote, kiukweli kufulia kuna dhalilisha nakushusha hadhi ya kiume aiseee.mwanaume kufulia heri demu ndio afulie ila msela inakuleta msongo wa mawazo sana kibaya zaidi uwe na madeni na wategemezi kama watoto wadogo.
Una hoja usikilizwe
 
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini kuleta mijini na kusambaza kwa bei ya jumla.

Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.

Mwisho wa siku nikachanganyiwa mchele kipuuzi kabisa na mtu ambae nilikua namuamini, nikajikuta nipo na mchele wa vitumbua na jamaa yule kakimbia, hapo ndio ukawa mwisho wangu, nilifilisika kama kuku, ndugu zangu hawakunielewa tena, nilipata stress kama tani 7 hivi.

Wakati tena nikapataga milion 3 kwa enzi zile haikua haba aisee, nikawa naishi vizuri tu, hizo elf 10 kwangu zilikua buku, sina cha kujibania kwa kweli, kuja kustuka nimenunua friji na tv tu vya geto tena ka friji kale kadogoo kabisaa, hela yotee imeisha katika njia zisizoeleweka, nilichanganyikiwa tena, sina nidhamu ya fedha.

Mwisho nikarudi zangu kusoma tena chuo ndio nikaja kutoboa kwa njia zingine kabisa kwa kutumia kazi niliyosomea.

Je, wewe unakumbuka vipi? Nini kilikupata?
Tulifanya biashara na jamaa zangu wawili kupeleka viazi mviringo Malawi,tukapata hela balaa!,Tulipoenda mara ya2tulikuta mzigo kibao viazi vyetu viliozea sokoni hata nauli ya kurudia tulikosa tukazama kwa Wasabato wa Malawi wakatuchangia!
 
Wakati Hayati Rais Magufuli anatoa agizo la kwamba Serikali itanunua Korosho toka Kwa wakulima baada ya,kuona wafanyabiashara Wana bid Kwa pesa ndogo, waliolipwa ni wakulima tu tena walioonyesha mashamba yao (hati).

Walanguzi wote a.k.a wazee wa kangomba walipigwa chini na ndipo wengi walipopoteza mitaji yao na kufilisika na wengi tu walikufa Kwa pressure.
Aiseee poleni Sana hukuficha hata koroshp kidogo
 
Kweli kabisa yaani ukiwa unadate na mwanamke alafu ata siku moja hajakununulia kitu huyo ujue ni selffish promax.
Kuna mmoja ananipiga vibomu hapa namsikilizia tuu anavyo be jua mdomo oh mzabzab utanioa. Rohonni nasema wee nakulia timing tuu nikukule tigo nisepe zangu. Mwanamke hana huruma kabisa na hela zangu kha
Khaaa we una Roho ngumu tigo tena
 
Back
Top Bottom