Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Kati ya 100 wapo wawili[emoji1787][emoji1787]
Ahahah mm sjawah kuoa aisee ila nataman sana sjui napata wapi mwanamke mwenye huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya 100 wapo wawili[emoji1787][emoji1787]
Bora kupewa hyo laki na rinda lako likabaki salama huyo wa milion 50 rinda haliko salama
Dogo una hekima kweli 1️⃣1️⃣1️⃣Uzi mzuri sana huu. Vijana wote muusome mara kadhaa. Jambo la kwanza kabisa na muhimu kuliko yote ni NIDHAMU yako wewe binafsi ndani ya moyo wako. Unapopata pesa (ya halali), kwanza kabisa toa zaka au sadaka yoyote ya shukrani kwa Mungu. Ukifanya hivyo, unakuwa umeanza hatua ya kwanza ya kujijengea nidhamu ya nafsi yako.
Hatua ya pili:- Ziache hizo pesa benki kwa muda fulani (miezi kadhaa) UJIFANYE KAMA HUJAZIPATA. Hilo ni JAMBO GUMU (amini usiamini). Ni vigumu sana mtu kupata pesa nyingi kwa ghafla na kuacha kujionyesha. Ukishaweza kuwa na nidhamu ya kuendelea na maisha yako kama zamani wakati ulikuwa huna pesa, utakuwa umeshashinda kwa sehemu kubwa uwezo wa kuha kufilisika kirahisi.
Jambo la tatu ni kujaribu kwa nguvu zote KUZIMA MSUKUMO WA KUTAKA KUTAJIRIKA HARAKA. Nashauri ukipata pesa yoyote, usijaribu kuwekeza zaidi ya theluthi moja ya pesa hizo. Yaani ukipata milioni kumi na mbili, fikiria biashara unayoweza kufanya ambayo mtaji wake hauzidi milioni nne. Ng'ang'ana na hiyo biashara weee...Ukishaona inalipa, ndipo uongeze mtaji wake au uanze ya aina ingine ambayo nayo haizidi milioni nne. Kumbuka:- Kamwe USIANZE CHOCHOTE BILA KUKIFANYIA UPEMBUZI MKUBWA KABISA KWANZA. Unaweza ukalima na ukapata mazao mengi lakini kama huna soko la uhakika tayari umeanguka.
Unaweza kuanza biashara (k.m. duka au saluni n.k.) ambayo kwa kawaida inalipa vizuri lakini ukawa huna watendakazi wazuri au biashara haipo mahali penye wateja wengi wa biashara hiyo. Ni afadhali utafute fremu ya biashara yako uwe unalipa laki sita kwa mwezi mahali ambapo kuna wateja wengi kuliko kutafuta fremu ya laki tatu mahali ambapo wateja ni wa kubahatisha. Ni afadhali "umtoe"mfanyakazi bora uliyemwona mahali umlipe ghali ahudumie wateja wako vizuri kuliko utafute tu "wa kuokoteza" Ndio maana nimesema unatakiwa kufanya "upembuzi" wa kina kabla ya kuanza biashara. Lakini mwisho wa siku, jambo muhimu kuliko yote yanayomfanya mtu asifilisike ni NIDHAMU.
Watu wote duniani ambao waliwahi kupata pesa nyingi lakini zikaisha fasta walifilisiwa na TAMAA ZAO (yaani kukosa nidhamu). Kutaka fahari ndio kumefilisi wengi. Ukiwa baa unanunulia wote ili wakuone "unazo za kumwaga" Fahari ya kumchukua kila demu mzuri anayekatiza mbele yako, kuvaa mavazi ya ghali sana uonekane wewe ni bora zaidi n.k. Mimi binafsi nilishapata nyingi tu zikaisha- Nilikuwa nataka kutajirika haraka nikawekeza zote. Mtaji wote ukakata. Ni kama vile kuna "shetani fulani" anakufanya usishituke haraka- unakuja kutambua wakati zimebakia milioni mbili kwenye milioni hamsini ulizokuwa nazo.
Mimi nilipozinduka ndipo nikajiuliza ni wapi nilikosea. Nilipojua, nikajirekebisha. Sikukata tamaa nilianza tena kuanzia hatua ya kwanza lakini safari hii nikawa mjanja sikufanya tena kosa. Usisahau kamwe !!! Wanawake "wadangaji" wanajua "kunusa" ukiwa na pesa ni ajabu !! Waogope kama ebola !!
Demu anatako zuri kweli daaah acha tuJamani huo msambwanda mie nahamu japo nipapase tuu nakupa offer ya kupanda bodaboda yangu mwezi bure
Nawe umelitamaniDemu anatako zuri kweli daaah acha tu
Mwanangu mi kuna account yangu moja nili mfwata inbox kabisa mkuuu hata nikiona comment yoyote lazima nimsifie tako lake aseeeNawe umelitamani
Aise hatari witnessj kuna mtu anakupenda huku. Anasema chupi ime overlap mpaka kufanya tako lionekane limevaa lapa🤣🤣🤣🤣🤣Mwanangu mi kuna account yangu moja nili mfwata inbox kabisa mkuuu hata nikiona comment yoyote lazima nimsifie tako lake aseee
Simjui hanijui ila nakwambiaje ntamsifia tako lake mpaka siku ntakayoiacha jf mkuu
Yaani tako limepanda alafu chupi ime overlap daaah 😍😍😍 huyu demu basi tu
Udalali wa korosho au mazao?nimezipata ten baada ya mwendazake junifilisi kwenye korosho nimezipata kwenye udalal sasa hv ntakua makini sana
😅😅😅😅 Daaah mkuuu acha tu yaani nikionaga avatar yake nasikia dopamine zinapita mwilini yaani nasikia raha tu raha mkuuu sa sijui nikikutana nae itakuwaje 🤣🤣Aise hatari witnessj kuna mtu anakupenda huku. Anasema chupi ime overlap mpaka kufanya tako lionelane limevaa lapa🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja nikukutanishe nae ila mzee hela unayo? Maana kamrembo katajiri hako balaaa😅😅😅😅 Daaah mkuuu acha tu yaani nikionaga avatar yake nasikia dopamine zinapita mwilini yaani nasikia raha tu raha mkuuu sa sijui nikikutana nae itakuwaje 🤣🤣
Duuh kwenye hela hapo ya kuhonga sina aseee nina yangu tu 😱😢😢.Ngoja nikukutanishe nae ila mzee hela unayo? Maana kamrembo katajiri hako balaaa
Chuo tumia fursa zilizokuwepo mzeya ndio muda wa kula totoz kwa kutumia hela ya boom alafu ukifirisika njoo utuoe storyDuuh kwenye hela hapo ya kuhonga sina aseee nina yangu tu 😱😢😢.
Mi mwenyewe nipo chuo acha niendelee kujittafuta tu
Daah ngoja nipite tu 👉 sema ntazidi kufurahia kwa macho tu
🤣🤣🤣🤣🤣Chuo tumia fursa zilizokuwepo mzeya ndio muda wa kula totoz kwa kutumia hela ya boom alafu ukifirisika njoo utuoe story
Ndio vizuri tumia hela ya mshuwa kwa mademu ufilisike lakini sii utakuwa umekamatia totoz ..hakikisha umepiga threesome kabla ya kumaliza chuo.🤣🤣🤣🤣🤣
Daah we hunitakii mema mkuuu halafu chuo sijachukuwa mkopo mkuuu 😁😁😁
Mwache aingie kichwa kichwa atakuja lia kule mmuKati ya 100 wapo wawili[emoji1787][emoji1787]
udalali wa tofali
[emoji1787][emoji1787]Shida ya WaTz tunataka tufosi mambo ambayo hayana uhalisia. Hata iweje pesa za madili au pesa unazopata kwa mkupuo au bila mpangilio ni ngumu sana kufanyia miradi itakayo kuingizia pesa. Tena ukitaka ufilisike haraka hizo pesa ziingize ktk biashara... Jiwekee mipango ya kimaisha kwamba nikipata pesa nitanunua kiwanja au nyumba au nitaanza ujenzi. Hii mentality itakusaidia kukumbusha kuzitupa pesa haraka ktk mipango yako... Halafu kingine cha ukweli ambacho watu hamkisemi kawaida mwanaume ukipata pesa ambayo unaiona ni nyingi ktk maisha yako basi utambue 10-20% ya hiyo pesa lazima ufanyie anasa, kwahio ni vzuri kuukubali huu ukweli ili ukipata pesa tenga pesa kwajili ya anasa, zinazobak wekeza kwenye Assets... Mimi sina cha ku regret kwasabab naishi ktk mfumo huu, nikipata million 100 najua kabisa million 10 nitazitumia kujipongeza kwa ugumu wa maisha...
We learn from mistake.Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini kuleta mijini na kusambaza kwa bei ya jumla.
Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.
Mwisho wa siku nikachanganyiwa mchele kipuuzi kabisa na mtu ambae nilikua namuamini, nikajikuta nipo na mchele wa vitumbua na jamaa yule kakimbia, hapo ndio ukawa mwisho wangu, nilifilisika kama kuku, ndugu zangu hawakunielewa tena, nilipata stress kama tani 7 hivi.
Wakati tena nikapataga milion 3 kwa enzi zile haikua haba aisee, nikawa naishi vizuri tu, hizo elf 10 kwangu zilikua buku, sina cha kujibania kwa kweli, kuja kustuka nimenunua friji na tv tu vya geto tena ka friji kale kadogoo kabisaa, hela yotee imeisha katika njia zisizoeleweka, nilichanganyikiwa tena, sina nidhamu ya fedha.
Mwisho nikarudi zangu kusoma tena chuo ndio nikaja kutoboa kwa njia zingine kabisa kwa kutumia kazi niliyosomea.
Je, wewe unakumbuka vipi? Nini kilikupata?