Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Bado tunaendelea kupata madin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hiyo hela bank iache kama umeisahau kwanza ,,hakikisha kwa sasa unakuwa mpole unatafuta hela kama huna sh. Mia vile ,, endelea na hustle zako zilizokuwa zinakupa hela ya kuendesha maisha yako kila siku, ukishaona umetulia kabisa sasa waza kuhusu biashara ila iendane na ujuzi wako ,nunua vifaa bora zaidi , tangaza zaidi kuwa mwaminifu ,soma zaidi kwenye mitandao ya kijamii kuza soko lako ,,View attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
Hii stori yako haijakaa vizuri. Yaani washinde kesi ya jinai ya wizi halafu wamuache huyo Mhindi hivi hivi?Kuna jamaa yangu mmoja alikuwaga anafanya kazi sheli fulani kitengo cha stoo ye ndo anajua yameingia mafuta kias gani na yametoka kiasi gani jamaa alipoizoea kazi akaanza kupiga cha juu yeye na jamaaa zake wawili Sababu Ile sheli ilikuwa inahumia magari ya serikali na viwanda vikubwa akawa anakula njama na madereva wanapiga cha juu enzi za jakaya.
Maisha yakaendelea jamaa na wale wenzake maisha yakawa bomba wakajenga majumba mjini sehemu t ofauti ila nyumba walizokuwa wanakaa wakajenga sehemu moja majumba ya ukweli kwa mtu asiyefahamu kazi Yao ungedhani wanapiga kazi migodini au wafanyabiashara wakubwa au watu wenye nyadhifa kubwa serikalini wakafungua biashara mbali mbali kweli wakawa H abari ya mjini kutokana na jinsi walivyodesign zile nyumba zao na wakajenga sehemu moja .
Kilichowaroga wakanunua magari ya kifahari wakawa wanaibuka nayo kazi mmoja Lexus ,mmoja x3,mwingine prado tx wakawa wanaenda nayo kazini kwenye shell ya muhind hicho ndo kiliibua maswal mfanyakazi anayelipwa 120000 kwa mwez anawezaje kumiliki magari ya kifahari namna hiyo within two years ndo uchunguzi ukafanyika wa kimya kimya wakagundua njama zao ndo wakafukuzwa kazi walifunguliwa mashtaka ya wizi wakawa wameshinda mahakamani maana washitaki walikosa vielelezo vya ushahidi wa waliiba Wapi basi kesi ikaisha muhindi aliwaambia kitu kimoja akawabembeleza Mara kwa Mara kwamba wauze zile Mali wamrudishie ela yake hata nusu lasivyo watahangaika mpaka mwisho wa maisha Yao jamaa wakaona muhindi anatania.
Maisha yakaendelea miezi ikasonga walianzaga kufilisika biashara haziendi vitu vya kule nje majumba wakaanza kuuza hadi magari life likawa gumu wote wakabaki na Yale majumba.
Alianza mmoja akauza akakimbilia visiwani na familia yake mwingine naye akafata akamuuzia mnunuzi aliyenunua Ile ya awali ilikuwa kampuni ya wazungu akabaki jamaa yangu uyo akawa mgumu kuuza nyumba make angehangaika plan yake ilikuwa abaki na nyumba aje aiombee mkopo au akipata mtu mwenye ela nzuri ndo auze ajenge nyumba ya kawaida kama m30 hivi apo ashapigika watoto alikuwa amewapeleka medium school kawahamishia kwa gvt Kula anagongea kwa ndugu na jamaa .
Wakati anawaza hivyo ndo tetemeko la ardhi likapitia nyumba yake ikaharibika vibaya sana haikuwepo namna z aidi ya kubomoa akajenga upya ndo jamaa akawa ameishia apo alikimbia mji sijui yuko Wapi.
Wito:wizi sio mzuri hasa kiwaibia hawa wahindi
Dah nimeangalia balance kwenye account yangu, nimebaki najicheka, mkuu Jitahidi ikutoe hiyo inatosha sana.View attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
Njoo dm nikupe namba ya mwamba mwenye nondo za kukusaidia nayeye ni billionaire mtarajiwaView attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
Wataalamu wa michepuko somo hiloNilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikuwa hela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap
Nikaja kupewa tena mil 1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana
Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa
Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena hela za madanga, nimeolewa na ninatafuta hela kihalali.
Msiwashangae kina Wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka.
Nunua Bajaj m8 uwe unaangalia nini cha kufanya ila uendeshe weweView attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
🤣🤣🤣🤣Njoo nikuwowe nikuoenhiyo kama zawadi ya kunizalia mtoto mzuri wa kike afananae kama mama yakeDah nimeangalia balance kwenye account yangu, nimebaki najicheka, mkuu Jitahidi ikutoe hiyo inatosha sana.
Huyo mtoto asipofanana na mimi akafanana na wewe hutoi hiyo zawadi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo nikuwowe nikuoenhiyo kama zawadi ya kunizalia mtoto mzuri wa kike afananae kama mama yake
Wekeza hapo hapo ulipopata hiyo pesa..ila wekeza robo tu ya hela.View attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
View attachment 2592498

Million 12 si pesa ya kuanzia bznes? Je inatakiwa kiasi gani?Upgrade your skills mil 12 bado sio hela ya kuwazia biashara .
Nunua vifaa
Hama nyumbani ukapange sehem ya bei nafuu ili uwe huru kufanya kazi zako.
Jiunge Linkdin harafu lipia ili uweze kumtumia meseji mtu yeyote .Kule ndo kwa kufanya cold calling maana wafanya maamuzi wote wa makampuni wapo huko.
Sidhani kama umemuelewa kwa nilivyomwelewa mimi mil 12 kaipata kwa mkupuo, na kakiri hjawahi shika hiyo hela hiyo hata akisema aanze biashara wengi wanaangukia pua labda ingekuwa kuendeleza biashara ..... sasa ndio mana tunamshauri kukuza kwanza alichonacho , kuwaza upya ili kutengeneza hela zaidi bado kijana anajitafutaMillion 12 si pesa ya kuanzia bznes? Je inatakiwa kiasi gani?
Asante
bora ajenge nyumba hata ya vyuma vitatu apangisheSidhani kama umemuelewa kwa nilivyomwelewa mimi mil 12 kaipata kwa mkupuo, na kakiri hjawahi shika hiyo hela hiyo hata akisema aanze biashara wengi wanaangukia pua labda ingekuwa kuendeleza biashara ..... sasa ndio mana tunamshauri kukuza kwanza alichonacho , kuwaza upya ili kutengeneza hela zaidi bado kijana anajitafuta
View attachment 2592498
Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.
Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu
NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
bora ajenge nyumba hata ya vyuma vitatu apangishe
Ambayo haina batiVyumba vitatu kwa mil 12 ,hio nyumba gani
uko wapVyumba vitatu kwa mil 12 ,hio nyumba gani
😂😂😂😂nimecheka sana aiseeAmbayo haina bati