King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Yupo mafichoni ,alikimbia TZ baada ya kunusurika KUTEKWA na genge la kina MAFWELE.Hapana njungu hizo mie sitatumia napambana hivi hivi mkuu.
Huyu mrembo yupo wapi nikaoe
Yupo mafichoni ,alikimbia TZ baada ya kunusurika KUTEKWA na genge la kina MAFWELE.Hapana njungu hizo mie sitatumia napambana hivi hivi mkuu.
Huyu mrembo yupo wapi nikaoe
AiseeDu acheni kunikumbisha, nilikuwa nafanya kazi sehemu flani wafanyakazi wenzangu wakashawish kampuni iwe inatoa mkopo Mara pa ikakubaliwa na wenzangu walichukua mkopo mkubwa na Mimi nikachukua 8ml, do kwanza sijazigusa mwezi mzima najaza mipango kwenye makaratasi, usiku naamka napanga mipango, nikapata wazo nidroo pesa zote nikae nazo Ndani.
Nikadraw, siku moja kama demu wangu kaniambia mbona siku hizi unapiga mahesabu sana na makaratasi mengi mezani, nikamwambia hamna mipango tu, Mara akajua Nina pesa, akaja home sijui alinitime VIP akaiba zote, kuna machinga nilimuambia aniletee pas original asijal gharama, siku kaja nachek bahasha sioni pesa nampigia simu Selina hapatikani, nauliza nkaambiwa ameenda Morogoro, jamaa anasema pasi elfu 40, kaiacha hapo,
Ninaomba Mungu aendelee kumlinda ndugu Faustine Mafwele. Amenisaidia sana huyu mkuu. Alinipa connection some few months ago.Yupo mafichoni ,alikimbia TZ baada ya kunusurika KUTEKWA na genge la kina MAFWELE.
Hii ni simulizi ambayo wengi wanaweza kujiona ndani yake. Kushindwa mara moja au hata mara mbili si mwisho wa safari; mara nyingi ni somo la kujenga busara. Kilicho muhimu ni kujifunza kutokana na makosa, kuimarisha nidhamu ya fedha na kuendelea kusonga mbele. Mara nyingi mafanikio huja kupitia majaribu ambayo hatukuyatarajia. tuwe kama wanayanga wazee wa daima mbele, nyuma mwikoNikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini kuleta mijini na kusambaza kwa bei ya jumla.
Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku zote wakawa wakopaji wangu wakubwa, malipo yakawa ya kuzungushana, nikawa mkali kidogo ila kwa bahati mbaya pesa ikawa ndogo kwenye mzunguko wangu, sinunui tena zile kilo nilizoanza nazo kwa wakati, mambo yakawa tofauti kidogo, nikaenda weee.
Mwisho wa siku nikachanganyiwa mchele kipuuzi kabisa na mtu ambae nilikua namuamini, nikajikuta nipo na mchele wa vitumbua na jamaa yule kakimbia, hapo ndio ukawa mwisho wangu, nilifilisika kama kuku, ndugu zangu hawakunielewa tena, nilipata stress kama tani 7 hivi.
Wakati tena nikapataga milion 3 kwa enzi zile haikua haba aisee, nikawa naishi vizuri tu, hizo elf 10 kwangu zilikua buku, sina cha kujibania kwa kweli, kuja kustuka nimenunua friji na tv tu vya geto tena ka friji kale kadogoo kabisaa, hela yotee imeisha katika njia zisizoeleweka, nilichanganyikiwa tena, sina nidhamu ya fedha.
Mwisho nikarudi zangu kusoma tena chuo ndio nikaja kutoboa kwa njia zingine kabisa kwa kutumia kazi niliyosomea.
Je, wewe unakumbuka vipi? Nini kilikupata?
Mwenyewe nimetapeliwa na mganga wa TangaDaa uzi umenifundisha mengi nimeanza kuusoma jana asaivi umeisha
Mm mwenyewe nilipo napumumila mipira kwa kupoteza 2m kwenye biashara asaiv imebaki 200k daa mungu atuongoze kwa kweli
Ukizingatia np kijijhn na kijijn 2m ni nyng mno kwahy np np tu cielew 1 wala 2 Red black Monetary doctor 666
Maisha sio marahisi kwa kweliMwenyewe nimetapeliwa na mganga wa Tanga
Acha tuu,,Maisha sio marahisi kwa kweli
ilikuwajeMwenyewe nimetapeliwa na mganga wa Tanga
Ndo nani huyuMhhhh mkuu ICU mara ya pili tena? Kwanini usitumie "Minjingu" aka "Busta" aka "Njugu" ili utengemae? Mbona pisi Cherry anatumia "karanga" mwaka wa 16 huu na yupo fresh anadunda?
Mrembo Cherry Hollister
View attachment 3632041
Ntakuja na uzi bado kazi yake matunda ni madogo naona ni utapeli huo hapatikan mara apatikaneilikuwaje
Huu uzi huwa nausoma kila nikiingia Jf then naendelea kusoma nyuzi zingineDaa uzi umenifundisha mengi nimeanza kuusoma jana asaivi umeisha
Mm mwenyewe nilipo napumumila mipira kwa kupoteza 2m kwenye biashara asaiv imebaki 200k daa mungu atuongoze kwa kweli
Ukizingatia np kijijhn na kijijn 2m ni nyng mno kwahy np np tu cielew 1 wala 2 Red black Monetary doctor 666
Mwanaharakati mkuu ,msearch kwa hilo jina Instagram na Facebook utampata.Ndo nani huyu
😋
kisa nini kumteka mgonjwa da???/Yupo mafichoni ,alikimbia TZ baada ya kunusurika KUTEKWA na genge la kina MAFWELE.
kusoma polisi kwako ni koneksheniii?Ninaomba Mungu aendelee kumlinda ndugu Faustine Mafwele. Amenisaidia sana huyu mkuu. Alinipa connection some few months ago.