Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Aisee
 
Hii ni simulizi ambayo wengi wanaweza kujiona ndani yake. Kushindwa mara moja au hata mara mbili si mwisho wa safari; mara nyingi ni somo la kujenga busara. Kilicho muhimu ni kujifunza kutokana na makosa, kuimarisha nidhamu ya fedha na kuendelea kusonga mbele. Mara nyingi mafanikio huja kupitia majaribu ambayo hatukuyatarajia. tuwe kama wanayanga wazee wa daima mbele, nyuma mwiko
 
Mwenyewe nimetapeliwa na mganga wa Tanga
 
Huu uzi huwa nausoma kila nikiingia Jf then naendelea kusoma nyuzi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…