Kuna jamaa yetu alipewa hela baada ya mzee wake kufariki million 29.Kipindi hiko kuna nyumba inauzwa million 7 tukamshauri anunue wapi.Yeye alidai mipango yote bandari salama.Bwana kwanza hiyo safari kutoka Kahama to Dar ,Nzega alilala huku anakula bata,Singida hivyo hivyo Dodoma bata kwa kwenda mbele,Moro mwendo uleule.Baada ya mwaka kupita namuona tena Kahama nilimwambia "ntakutandika makofi ".Baada ya kuanza kuniambia kaka unajua hutu tubiashara twa kuuza mafuta ya vibaba na nyanya chungu tunalipa watu hawajui tu.Kwa sasa hana hata 100 tunambeba ndugu yetu kinachopatikana tunagawana.