MWAMUNU
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 860
- 519
Unachosema Ni kweli mkuu.Kwa upande wangu pombe ndo kikwazo kikubwa cha mafanikio yangu.Hua naweza kuamua kuacha pombe hata miezi 3, cha kushangaza naweza kosa Hadi nauli ya dala dala!![emoji849][emoji849]Cha kushangaza nikirudi kwenye kinywaji pesa napata Ila haifanyi lolote zaidi ya anasa[emoji848][emoji848]hahahaaa!! zungushaaaa, wape bia haoooo!!! wanywe mpaka waombe poa!! kampuni kubwa hiiiiiiii!!!, bill inakuja 70,000/= mfukoni una 50,000/= unachukua pikipiki fasta huku wadau unawaacha wanakula mvinyo, unaenda kuvuta 200,000/= ili imalize kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnahama viwanja huku group linakufuata nyuma kila MTU na bebi wake unawanywesha wewe!!!