Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi ila ninachoamini ni kwamba Mungu alishapanga kila kitu , na siku ya kufa hutowaza tena kwamba huu usafiri ni hatarishi. Utapanda na ahadi itatimiaBosi hivi ulishapanda haya magari ukaangalia ukaaji au unajisemea hakuna mtu anafunga mkanda wala nini,Ni kweli iko cku kila mtu atatangulia ila tuache kupanda vitu hatarishi
Ajali utazisikiaje wkt wenyewe ndo wandishi wa habari?hao madereva wako vizuri maana hata ajali zao haziskiki so wako saafi kabisa,
dereva wa basi toka s wanga mpaka dar,au kyela dar hawa nao si mchezo wanasukuma zile mashine ile ni safari mama km hujawahi pita hiyo njia jaribu,maana kuna vipande hapo kati ni tambarare tu sasa ndo unaona ufundi wa dereva km una roho ndogo utashuka
Mkuu si naskia bus zimefungwa speed governor mwisho 80kph... Au jamaa uwa wanapitiliza hio speed?hao madereva wako vizuri maana hata ajali zao haziskiki so wako saafi kabisa,
dereva wa basi toka s wanga mpaka dar,au kyela dar hawa nao si mchezo wanasukuma zile mashine ile ni safari mama km hujawahi pita hiyo njia jaribu,maana kuna vipande hapo kati ni tambarare tu sasa ndo unaona ufundi wa dereva km una roho ndogo utashuka
nazungumzia miaka mi5 nyuma nilipanda hizo bus hakukuwa na s governor hapo moro baada ya kitonga wanateleza saana tu,mafinga ni balaa,makambako kuitafuta mbeya usiombe bora ulale tuMkuu si naskia bus zimefungwa speed governor mwisho 80kph... Au jamaa uwa wanapitiliza hio speed?
Mimi nilikuwa nazan yule dereva ana extra power. Sio kwa kukimbiza kule jaman[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wanaoendesha Yale magari ni madereva wazoefu sanaa. Bado kidogo wafuzu udereva wa rally championship
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ajali utazisikiaje wkt wenyewe ndo wandishi wa habari?
IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
hapana gari za magazeti ni noma kuliko it..... it zinatofautiana na madereva wanatofautiana.....pia it ni risk sana madereva wengi ni lafu hawako makini wengi siyo wazoefu... wale wa magazeti ni proffesional wanakimbia lkn wako makini sanaIT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Mmmh IT nimezitumia sana na zile za magazeti nimetumia ila magazeti wanakimbia zaidiIT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Eti ufie usingizini[emoji23][emoji23]Mimi kuna siku nlikuwa natoka moshi kurudi dar saa 12 nimepanda gari ya magazeti pale njia panda saa 6 mchana nipo ubungo...nilichofanya nililala tu siti ya nyuma kbs nikasema km nikifa nifie usingizini