Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Mimi kuna siku nlikuwa natoka moshi kurudi dar saa 12 nimepanda gari ya magazeti pale njia panda saa 6 mchana nipo ubungo...nilichofanya nililala tu siti ya nyuma kbs nikasema km nikifa nifie usingizini
Silali barabarani kwanza usingizi hauji. MTU akikimbiza gari ndo kabisaaaaaa nasali tu
 
reply nyingi za watu hapo juu ni magari ya magazeti kutoka dar kwenda arusha/kilimanjaro, inaonyesha mikoa mingine tofauti na hy hakuna wasomaji magazeti kabisa.
Sio hakuna wasomaji mkuu,hiyo ni destur ya MTU.Kuna hawa wa mikoa ya Iringa wanapenda sana kupanda malori,IT na hayo magar ya magazeti.
Huwezi MTU wa tanga au morogoro ukampandisha hayo magari,tatizo in mazoea tu hamna kingine
 
Kwa hizo story ninazosomaga kuhusu hayo magazeti sitathubutu kuyapanda. Kwanza Mimi muoga wa speed halafu ndo nipande gari Kama Noah ikimbizwe naweza hata Kibaha nisifike niwe nikeshakufa kwa presha
😂😂😂😂😂😂😂 ukikaa sana na mtu wa speed utazoea tu utaona normal
 
Mimi kuna siku nlikuwa natoka moshi kurudi dar saa 12 nimepanda gari ya magazeti pale njia panda saa 6 mchana nipo ubungo...nilichofanya nililala tu siti ya nyuma kbs nikasema km nikifa nifie usingizini
hahaaa
 
Back
Top Bottom