Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
***** 94 sijazaliwa... Hahaha huku jf kuna vibabu1991 nilitembea kutoka Sinza Malabo hadi Up a game.
1994 nilitembea kutoka hango la kitega chini Samora hadi Kusababisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, ila sasa some how mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ameshusha baraka zake, vinauli nauli havikosekani.
***** 94 sijazaliwa... Hahaha huku jf kuna vibabu
Siyo kijana kwa huo mwaka, nastahili kukuita baba....
Siyo kijana kwa huo mwaka, nastahili kukuita baba....
Shikamoo Baba...
Sijawahi kula nauli.
***** 94 sijazaliwa... Hahaha huku jf kuna vibabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika vitu nalinda sana basi kubakiwa na kinauli aisee!
Tena kama kamebaki ka-mia nne kamili ile ukiingia tu kwenye daladala unalipa fastaaa wasije kukapiga ndole ukaaibika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
94 mkuu ww tayari, unakatiza mitaa nn mzee wanguOMG! wewe kumbe naweza kuwa mzazi wako wa kiume bila shida kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]We umetembea hapo tu unaanzisha thread wakati mi nishatembea toka Dar hadi Bagamoyo hadi nikaanza kuhisi harufu ya mishkaki inanukia kumbe ma.pumbu yangu mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"ᴬ ᵍᵒᵒᵈ ᵖˡᵃⁿ ᵛⁱᵒˡᵉⁿᵗˡʸ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵒʷ ⁱˢ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ ᵗʰᵃⁿ ᵃ ᵖᵉʳᶠᵉᶜᵗ ᵖˡᵃⁿ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵉˣᵗ ʷᵉᵉᵏ"
Mh, baada ya kutembea na kuvuka hilo gari lilizoziba njia kwanini hukupanda gari mkuu?Mwezi wa 12 mwaka jana kulikuwa na foleni Mbezi mwisho kuna gari liliziba njia.
Nikaamua kutembea kwa miguu kutoka Mbezi Mwisho mpaka Kibaha Maili Moja.
Foleni ilianza saa moja mpaka saa 2 naona hakuna dalili ya kupungua. Njiani siku hiyo tulikuwa wengi maana kulikuwa na foleni kubwa Morogoro Road.
Sent using Jamii Forums mobile app
***** 94 sijazaliwa... Hahaha huku jf kuna vibabu
Sikupanda gari mkuu. Siku hiyo foleni ilianza kusogea saa 5 usiku.Mh, baada ya kutembea na kuvuka hilo gari lilizoziba njia kwanini hukupanda gari mkuu?
the Legend☆