Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Hii mikopo i aonekana ina mabalaaa sana.....sasa humu hamna anayekooezha kwa dhamana ya kiwanja?
 
Wababa sie ndio hatukopesheki ama?
Hahahaaa sijui kwanini mhindi kaamua kukopesha akina mama tuu katika kampuni yake. Na anawakopesha kwa vikundi kwahiyo siku ya rejesho ukichelewa tuu kwanza unakula vichambo kutoka kwa wanakikundi wenzio wanaambatana mpaka kwako nyumbani. mbona utalipa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikopa laki 5 kwa riba ya 20%. Ilikua mwaka Jana huez amini mpaka Leo sija maliza napeleka riba tu. Nasogeza rejesho mbele[emoji24][emoji24] sjui nitatokaje hapa na mishe ndo kama Zina nigomea hivi
Pole sana. Hii ilishawahi kunikuta ila nilichofanya ni kulipa nusu nusu kama miezi miwili deni likaisha. Hapo nilishalipa riba kama miezi 4
 
On the otherside of the story: Kwa wakopeshaji, Kuna shost anaishi huko uswahilini kazi yake kukopesha wamama. Sasa kuna muda anaumwa sana ukimuuliza anasema wakopaji wanamloga asahau madeni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Akaanza kwenda kwa mganga na yeye kujiweka fit, Mwisho ameolewa na mganga siku hizi na biashara yake ya kukopesha anaendelea nayo.
[emoji23]
 
Hahahaaa sijui kwanini mhindi kaamua kukopesha akina mama tuu katika kampuni yake. Na anawakopesha kwa vikundi kwahiyo siku ya rejesho ukichelewa tuu kwanza unakula vichambo kutoka kwa wanakikundi wenzio wanaambatana mpaka kwako nyumbani. mbona utalipa tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhindi anataka kula mbususu za wamama nini? Sii waje kwangu niwakopeshe
 
Uzuri wa Jf kila ukiletwa uzi humu hakuna asiyejua ,,kila mtu kapitia au anapitia hakuna aliye mzembe ,wala asiyejua kila kitu,,,,.
Ndio ujue kwamba maisha ya mtanzania mmoja yanareflect malaki ya watanzania wengine. Kile unachopitia wewe kuna wengine elfu 10 wanapitia the same kwa wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imarika, jengo la haloteli, opposite na nyerere square barabara ya kutokea NMB kwenda ilipokuwa maisha Club.

Au kama unakijua kibarabara ambacho machinga walikuwa wanamwaga nguo za mtumba kuuza jioni nyerere square.

Kampuni ya Kina Frank mtei na mkewe nadhani.
Vipi mikopo yao Mkuu? Kausha damu?
 
Back
Top Bottom