Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa sijui kwanini mhindi kaamua kukopesha akina mama tuu katika kampuni yake. Na anawakopesha kwa vikundi kwahiyo siku ya rejesho ukichelewa tuu kwanza unakula vichambo kutoka kwa wanakikundi wenzio wanaambatana mpaka kwako nyumbani. mbona utalipa tuu.Wababa sie ndio hatukopesheki ama?
Pole sana. Hii ilishawahi kunikuta ila nilichofanya ni kulipa nusu nusu kama miezi miwili deni likaisha. Hapo nilishalipa riba kama miezi 4Mimi nilikopa laki 5 kwa riba ya 20%. Ilikua mwaka Jana huez amini mpaka Leo sija maliza napeleka riba tu. Nasogeza rejesho mbele[emoji24][emoji24] sjui nitatokaje hapa na mishe ndo kama Zina nigomea hivi
Sa nsemeje mkuu maana dahh anavyoongea as if sjui nini vileEti hayamuhusu haaaaaaaaah haaaaaaah Hilo jibu nimecheka sana
Pole Sana mkuu,
Imenikumbusha mwezi ulopita
Tangu September mzunguko hausomeki kabisa
[emoji23]On the otherside of the story: Kwa wakopeshaji, Kuna shost anaishi huko uswahilini kazi yake kukopesha wamama. Sasa kuna muda anaumwa sana ukimuuliza anasema wakopaji wanamloga asahau madeni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Akaanza kwenda kwa mganga na yeye kujiweka fit, Mwisho ameolewa na mganga siku hizi na biashara yake ya kukopesha anaendelea nayo.
kumbe je! 😅😅Eeh kwa hiyo mganga kamloga ili amoende na kafanikiwa🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi zingine zinanmanufaa mazuri sana yaani unamlomga mrembo unajilia mbususukumbe je! 😅😅
Mhindi anataka kula mbususu za wamama nini? Sii waje kwangu niwakopesheHahahaaa sijui kwanini mhindi kaamua kukopesha akina mama tuu katika kampuni yake. Na anawakopesha kwa vikundi kwahiyo siku ya rejesho ukichelewa tuu kwanza unakula vichambo kutoka kwa wanakikundi wenzio wanaambatana mpaka kwako nyumbani. mbona utalipa tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we mtu akili zako ni mbususu tuuuKazi zingine zinanmanufaa mazuri sana yaani unamlomga mrembo unajilia mbususu
Not true. Mikopo ni kujua namna ya kwenda nayo tu.Kukopa ni umasikini, na anafaidika ni mkopeshaji
Kwani wee unadhani wanaume wanahangaikia hela ili wazitumie wapi kama sio kwenye mbususu🤣🤣🤣🤣Yaani we mtu akili zako ni mbususu tuuu
Viscous circle. Ukishaingia hapo kutoka ni mtihani.Nataka kopa salary adv
Wanichinje dec, tumalizane 😁
Ili ufanyeje sasa Mkuu?Wazoefu wanakwambia muda mzuri wa kukopa ni wakati hauna shida ya mkopo. Zile nyakati nzuri kabisa kibiashara akaunti imenona minoti ndo unatakiwa ukope.
Ndio ujue kwamba maisha ya mtanzania mmoja yanareflect malaki ya watanzania wengine. Kile unachopitia wewe kuna wengine elfu 10 wanapitia the same kwa wakati huo.Uzuri wa Jf kila ukiletwa uzi humu hakuna asiyejua ,,kila mtu kapitia au anapitia hakuna aliye mzembe ,wala asiyejua kila kitu,,,,.
Vipi mikopo yao Mkuu? Kausha damu?Imarika, jengo la haloteli, opposite na nyerere square barabara ya kutokea NMB kwenda ilipokuwa maisha Club.
Au kama unakijua kibarabara ambacho machinga walikuwa wanamwaga nguo za mtumba kuuza jioni nyerere square.
Kampuni ya Kina Frank mtei na mkewe nadhani.