Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Sijawahi kukosea. Sijui kwanini naonaga ni uzembe tu mtu kukosea kusend sms.
Hiyo kukosea inatokea vipi! Unakuwa unachati labda na mzazi wako ghafla ukaanza kuchati na rafiki yako sasa yalemazoea ulikuwa unasend kwa mzazi unajikuta umemsendia tena mzazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
[emoji23][emoji23]hii umetungaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ulijikojolea au?
 
Hiyo kukosea inatokea vipi! Unakuwa unachati labda na mzazi wako ghafla ukaanza kuchati na rafiki yako sasa yalemazoea ulikuwa unasend kwa mzazi unajikuta umemsendia tena mzazi
Binafsi sina kawaida ya kuchart na mzazi.

Mzazi tunaongea tu moja kwa moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii nmecheka kweli et nilimhondomola
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ulikimbia kuliko sms [emoji28][emoji28]

Dah mkuu chai ina sukari nyingi hii [emoji38][emoji28][emoji28]
 
Teh kwa hiyo unataka ule dada ako dooh [emoji38][emoji28]
 
[emoji38][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nmecheka kifala
 
Siku moja sikwenda kanisani Jumapili, nilikuwa mwenyekiti wa vijana mda huo kanisani kwetu..
Sasa wakati wa ibada nilimtumia SMS mtu "Mambo" ikaenda kwa pastor.
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…