Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Hiyo kukosea inatokea vipi! Unakuwa unachati labda na mzazi wako ghafla ukaanza kuchati na rafiki yako sasa yalemazoea ulikuwa unasend kwa mzazi unajikuta umemsendia tena mzaziSijawahi kukosea. Sijui kwanini naonaga ni uzembe tu mtu kukosea kusend sms.