Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku moja tulikua sebuleni tunacheki movie,nilikua mimi,sister angu kanizidi miaka kama miwili hivi alaf na mshua sasa,,Movie yenyewe ni Spartacus kila muda ni sexy scene,,Ile imefikia Scene watu wananyanduana nikamcheki mshua anajifanya haoni eti anaangalia simu yake,kumcheki Dada nae akanicheki mimi uku akinionesha ishara ya kuipeleka movie mbele..Nikamwandikia sms sister kuwa'Mcheki mshua anazuga yuko bize na simu'Asalaaleh.!!kumbe nilikosea nikamtumia Dingilii!!Nashangaa dingi ananikata jicho kali hadi nikaenda kulala.
 
Ukamuacha na sistaa ako wanaangakia spartacas.
Astaghafullilah!!!

Kwa kifupi wote hapo mlikua zero brain.Ww sista ako na dingi ako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngareroooooo ume kill the killer, nimecheka boya ww
 

🤣🤣nimecheka aisee
 
Huu uzi bwana. Msg za kwenda kwa msichana zimeenda kwa mzee au bi mdashi....robo tatu ya comments
Yaah hizo ndiyo zinasisimua zaidi tulizokosea zikaenda kwa washkaji tu
Ni kiasi tu cha kumplease muhuni kwa sms na mambo yanaisha
Hatuwezi kuziandika hapa kama hizo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka kadhaa nilivyokuwa mvulana, jpili lazima twende church familia nzima, dingi akaenda kuoga akaacha simu yake dinning alipo kuwa anakunywa chai, koz najua passwords zake za mpesa, mjanja nikaenda kujihamishia credit Kama ya buku 8, daah hela imeshaingia kwenye simu yangu, naiskilizia sms irudi kwenye simu ya mzee ili nifute, twende sawa. Dah sms haikurudi Hadi nikasahau. Tuko kwenye gari tunaenda church mara sms ikaingia kuwa namba ya mzee imenitumia hela, baba kuusoma tu, yaliyo nikuta acheni tu, mpesa mungu anawaona
 
Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini kilitokea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…