Tuliowahi kuwa na chawa tukutane hapa

mi hadi mwaka huu walinitesa nilipokuwa kambini kweny shughuli za shamba nikawa nalala na mtu adui wa maji haki ni fedheha.
Halafu nilijua hawa viumbe wameishaga kumbe wapo
Hapa me mwenyewe nilikuwa najiuliza wapo?
Mana si kwa chawa wale wa enzi zilee. Khaa.
Nilikuwa sikai na nywele. Pigwa mchicha zikiota kdg tu. Na sie wa shombi shombi ndio walikuwa mwao. Maana kwa usafi tu, mamaangu sijamtafutia mwenziwe.
Walikuja kuhama wenyewe tu. Hata sijui waliishajeishaje.[emoji3]
 
Sijawah kua na chawa wala siwajui,,halaf ni uchafu huo
Mama sabrina huwezi amini. Si kila aliekuwa na chawa alikuwa ni mchafu.
Mimi mamaangu alikuwa msafi sana. Na kwangu alimaliza dawa kwa chawa lkn walikuwa km wameweka kambi. Dawa kubwa ilikuwa ni kukatwa nywele. Na minywele yangu ilikuwa mingi tena inaota haraka haraka.
Ajab. Walikuja kuhama wenyewe walipopenda. Yaani ni km walikuwa wakipungua kadri nikikuwa.
Na shuleni pia ndio tulikuwa tunarukizana sn.
Mie basi kunguni ndio siwajui vizuri. Km nimewahi kuwaona labda mara moja au mbili.
 
Mweleze vizuri Mama Sabrina make anadhani chawa ni wa mchezo!
 
Chawa kwa kweli ni uchafu tu japo wazazi walisema eti Damu inapendwa na Chawa. Nilikuwa na wote kichwani na nguoni, weupe kwa weusi, na funza miguuni, hatari sana kwakweli sipendagi nikumbuke aiseeee.
 
kunguni ni noma yule msela anajua kula na kipofu ....akiona unafurukuta tu anatuliza ball yaani anakuwa ameshajua kuwa amekupa vitu hivyo anasubiria tena upate usingizi ili aendeleze mechi
Kama umetoka nae home huwa hajitokezi ukiwa peke yako..... Subiri sasa muwe watu wengi utaona anachomoza kwenye kola huyoooooo
 
Kama umetoka nae home huwa hajitokezi ukiwa peke yako..... Subiri sasa muwe watu wengi utaona anachomoza kwenye kola huyoooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mchochezi sana
 
Af kuna watu dunia hii eti hawamjui kunguni!!.....haya maisha haya
 
Walikuja kuhama wenyewe tu. Hata sijui waliishajeishaje.[emoji3]

Mimi mama alikuwa haruhusu kulala bila kuoga, chawa wa kwenye nywele walikuwa kama ni culture, mama inabidi aninyoe wakati huo mi nataka kufuga nywele

Wale chawa hata sijui walikopotelea, kwa sababu nilipofika std 3 waliisha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…