Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Ndio hao,,mi sijawah waona ni wakubwa hivyo au picha tu
Ni wadogo size kama ya herufi 'a'. Font size 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hao,,mi sijawah waona ni wakubwa hivyo au picha tu
SawaaaNi wadogo size kama ya herufi 'a'. Font size 10.
Ulivyocheka hivyo unaonyesha wewe ulikuwa una chawa balaa [emoji15] [emoji15] [emoji15]Chawa oyeee! Nimecheka sana.
Ni kweli hata mimi nilikuwa nazo na wala sioni aibu kukiri hiloDuuuhhhh ngoja nitanie kidogo!!!!!
Mara nyingi ,,chawa ,,kunguni ,,mende ,panya ,,,huwa vinaelezea familia malezi ya MTU alokulia.
Mkuu hivi ukuwakaanga hawa na ugali si wananoga?
Vipi kwahiyo unapesa nyingi sana sasahivi eh?Mimi nliambiwa nikifuga chawa nitakuwa na hela ukubwani
Hapa me mwenyewe nilikuwa najiuliza wapo?mi hadi mwaka huu walinitesa nilipokuwa kambini kweny shughuli za shamba nikawa nalala na mtu adui wa maji haki ni fedheha.
Halafu nilijua hawa viumbe wameishaga kumbe wapo
Mama sabrina huwezi amini. Si kila aliekuwa na chawa alikuwa ni mchafu.Sijawah kua na chawa wala siwajui,,halaf ni uchafu huo
Mweleze vizuri Mama Sabrina make anadhani chawa ni wa mchezo!Mama sabrina huwezi amini. Si kila aliekuwa na chawa alikuwa ni mchafu.
Mimi mamaangu alikuwa msafi sana. Na kwangu alimaliza dawa kwa chawa lkn walikuwa km wameweka kambi. Dawa kubwa ilikuwa ni kukatwa nywele. Na minywele yangu ilikuwa mingi tena inaota haraka haraka.
Ajab. Walikuja kuhama wenyewe walipopenda. Yaani ni km walikuwa wakipungua kadri nikikuwa.
Na shuleni pia ndio tulikuwa tunarukizana sn.
Mie basi kunguni ndio siwajui vizuri. Km nimewahi kuwaona labda mara moja au mbili.
Mambo ya vijijini hayo! Halafu wazee wa zamani hawakuwa kama wa siku hizi broo!Kutafuna nywele tena??
Kama umetoka nae home huwa hajitokezi ukiwa peke yako..... Subiri sasa muwe watu wengi utaona anachomoza kwenye kola huyooooookunguni ni noma yule msela anajua kula na kipofu ....akiona unafurukuta tu anatuliza ball yaani anakuwa ameshajua kuwa amekupa vitu hivyo anasubiria tena upate usingizi ili aendeleze mechi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mchochezi sanaKama umetoka nae home huwa hajitokezi ukiwa peke yako..... Subiri sasa muwe watu wengi utaona anachomoza kwenye kola huyoooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uchochezi huo mkuu.Waliowahi kuwa na funza tukutane hapa pia!![emoji28][emoji28][emoji28]
Walikuja kuhama wenyewe tu. Hata sijui waliishajeishaje.[emoji3]
Siyo utani! Upo sahihi[emoji119]Duuuhhhh ngoja nitanie kidogo!!!!!
Mara nyingi ,,chawa ,,kunguni ,,mende ,panya ,,,huwa vinaelezea familia malezi ya MTU alokulia.