Mi nilikua mdokozi hatari alafu ni yule dogo mkimya hata kunishutumu huwezi
Nshaiba sana magengeni chochote kinachofaa napita nacho
Nshaiba sana chupa za soda na bia ndani mwa watu,kuna siku nlikuta chupa za soda msikitini.. Nkatembea nazo mbele kwa mbele.
Nshamsachi sana anko, akitundika suruali yake kabatini ameumia
Mtoto wa anko alikua anaweka hela kwenye kibubu (elfu10 kila siku)... Kila baada ya siku tatu lazma nikachukue posho kwenye kibubu.
Nshateka sana kuku za watu na bata, mwendo wa supu tu..
Nshaiba mbuzi kama watatu hivi mi na ADC wangu.... Tukauza
Nshaiba viatu vya mamdogo nikaenda kuuza ili niende sudani kwa wahaya kupata fleva.
.... Matukio yote hayo na mengine nimesahau,sijawahi kukamatwa hadi kustaafu kwangu.