Tuliowahi kuwa vibaka au majambazi tukutane hapa

Nakumbuka 2006 , Mwanza Mjimwema jirani yetu police hadi leo hajui kama miongoni mwa waliomvamia usiku hadi akasabibisha afuge mbwa mm ni mmoja wapo wakati tunatoka kwake baada ya kukosa tukawa tunarudi kupitia njia ya kuelekea Mkombozi tukakutana na mzee mmoja anaitwa Ramso anatuuliza nasikia kelele watu wanaita wezi wezi bila kujua kua sie ndio wezi tukamwambia wameelekea huku chini twende nae akatufuata nakumbuka nilimpiga panga la nyuma ya shingo hadi leo ana alama nikiiona hua naumia saana maana niliokoka baada ya kumpenda bint mlokole,hilo ni moja kati ya matukio niliofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uje uende ukakili na kumuomba msamaha huyo mzee uliyetaka kumuua kwa panga
 
aiseeeee
JamiiForums-762690048.jpg
 
Mi nilikua mdokozi hatari alafu ni yule dogo mkimya hata kunishutumu huwezi
Nshaiba sana magengeni chochote kinachofaa napita nacho
Nshaiba sana chupa za soda na bia ndani mwa watu,kuna siku nlikuta chupa za soda msikitini.. Nkatembea nazo mbele kwa mbele.
Nshamsachi sana anko, akitundika suruali yake kabatini ameumia
Mtoto wa anko alikua anaweka hela kwenye kibubu (elfu10 kila siku)... Kila baada ya siku tatu lazma nikachukue posho kwenye kibubu.
Nshateka sana kuku za watu na bata, mwendo wa supu tu..
Nshaiba mbuzi kama watatu hivi mi na ADC wangu.... Tukauza
Nshaiba viatu vya mamdogo nikaenda kuuza ili niende sudani kwa wahaya kupata fleva.
.... Matukio yote hayo na mengine nimesahau,sijawahi kukamatwa hadi kustaafu kwangu.
 
Dah hiyo ya sudaninkwa wahaya kupata fleva hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimkwapua mdada mmoja maeneo ya ubungo terminal pale ni shukuru trafk aliekuwa mataa nikaenda mkumbatia Mara difenda hyo nikapelekwa central kuna askar wa kike nae kajipendekeza nikamliza kilicho nilikuta wale askar magereza waliniuuguza vizuri mpka nikapona
Aisee!
 
Mi nilikua mdokozi hatari alafu ni yule dogo mkimya hata kunishutumu huwezi
Nshaiba sana magengeni chochote kinachofaa napita nacho
Nshaiba sana chupa za soda na bia ndani mwa watu,kuna siku nlikuta chupa za soda msikitini.. Nkatembea nazo mbele kwa mbele.
Nshamsachi sana anko, akitundika suruali yake kabatini ameumia
Mtoto wa anko alikua anaweka hela kwenye kibubu (elfu10 kila siku)... Kila baada ya siku tatu lazma nikachukue posho kwenye kibubu.
Nshateka sana kuku za watu na bata, mwendo wa supu tu..
Nshaiba mbuzi kama watatu hivi mi na ADC wangu.... Tukauza
Nshaiba viatu vya mamdogo nikaenda kuuza ili niende sudani kwa wahaya kupata fleva.
.... Matukio yote hayo na mengine nimesahau,sijawahi kukamatwa hadi kustaafu kwangu.
😆😆😆 Wewe mkali mpka ulikua na ADC wako🙌🙌
 
Tena huyo nilimstaafisha maana ilifika kipindi akawa mwoga ikanibidi nitafute mwingine mwenye ujasiri na huyo tuliiba naye kuku kama wote... Kwa wiki kula kuku kumi ilikuwa kawaida sana.. Nilinenepa kwakweli
...
 
Wengine tofauti na wizi wa majibu kwenye chumba cha mtihani hatuna wizi mwingine🚶🚶
 
Bora uwe hivyo mkuu.... Siku moja nilikosa kupiga pepa alafu maticha wakajaa sumu kinoma.,ikabidi nijiongeze kininja nikaingia ofisini nikabeba mitihani ya darasa zima nikaenda kuitupa... Kwa uzoefu wangu wa kujitetea ikabidi ticha anipe maksi70 bila kupenda maana alitakiwa akadirie maksi kwa kila mwanafunzi
 
Back
Top Bottom