mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Karibu pmHalaf wana vimaswali hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu pmHalaf wana vimaswali hao
[emoji3][emoji3][emoji3] huwa mnasemaga mnatongozwa huko na wanamwake na wewe unatongozwaWatu wa huko PM sio binadamu wa kawaida.
Umalaya tunyoo nini
Usitupunguzie fursa bhanaUmenipa wazo la kuanzisha darasa jukwaa la utambulisho hahahaha ntadaka wagen wengi wanaoingia tu na kufunga Pm
Yesu wangu aisee! Nipo tayari hatakama nitaoteshwa nunduAt your own risk.
Walikuwa wamezidi kunitongoza[emoji3][emoji3][emoji3] huwa mnasemaga mnatongozwa huko na wanamwake na wewe unatongozwa
Ebu kuwa serious youngWewe Shunie, nikajisemea mwenyewe kama salamu tu ni hivi, Je kama ningetongoza sasa.
Rafiki mambo?Bora aiseee Swahiba.
Salamu haitii mimba shunie pokea tuMe kwakweli pm kuna watu ni wasumbufu mnooo yaan mno halaf sana maswali ya kijinga kama police na wanasalimia mnooo yaan kwa siku utasalimiwa hata mara 10
Wengine hawana hata mazoea yoyote,wanajitoa ufahamu tuu mpaka unamzoom umjue ni nani lakini wapi unaona hamjawahi hata kulaikiana....Ndio mkuu.
Uzuri wengi wao tukizoeana huku majukwaani inakuwa ni rahisi kuja PM, hamna aliyewahi kuja PM bila kuzoena huku kwanza
Nna waswas una uhusiano na vumbi la congo,nakuogopaNaomba nije pm
Amen my dear! Mungu ni mwema sana!Hallelujah
Hivi nyie mwanamke anakuja pm kwako kukutongoza kwa avatar fakeWalikuwa wamezidi kunitongoza
Pm hujakutana na chura[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli niko serious, jiulize mwenyewe mara ya mwisho nilipitaa lini kusalimia.Ebu kuwa serious young
Zinachosha aisee salaam mara moja basiSalamu haitii mimba shunie pokea tu
Mi nna roho ndogo, ukinitumia PM nitapanic.Nina shida nawe mkuu nakufuata pm.
Si umemsema mke mwenzangu.umeona wapi nikisema hivyo?
Comrade tatizo niniMimi PM yangu nimeifunga rasmi mwezi Januari mwaka huu, sitaki tabu tena nimechoka.