Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
hahahaniliingia PM moja hiyooo....unaambiwa no kidhungu no service mpaka leo naziogopa pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaniliingia PM moja hiyooo....unaambiwa no kidhungu no service mpaka leo naziogopa pm
pole mkuu,komaa hauvunji sheriaHuu uzi wadada wamenivua nguo yote niliyofanya pm yamewekwa wazi ila
Jogoo hafi kwa utitiri ntakomaa tu
wengine wakina sisi bado hatujui kutumia vizuri hiyo PM, mnifundishage wajameni [emoji17]
Tupo 🤪😀Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM.
Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya.
HR 666 njoo let us share the experience
Wewe ndio huyu hapo kwenye avatar😅🙌🏾 PM zina Mambo, eeh wacha niwe mpole Binti Rweyemamu