Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Kweli kabisa, usipokuwa makini na maahadi makubwa makubwa kama hayo unajiingiza chaka mwenyewe, uongo lazima utumike kufanikisha haya mambo kwa kiasi fulani.

Ukiona anaanza kukwepa maswali juu ya jambo alilolisema ujue ni muongo
 
Kuna yule AshaDii pia huyu naye bila ya shaka PM yake ilikuwa inateseka sana kwa jinsi alivyokuwa maarufu hapa na michango yake moto moto katika majukwaa mengi na hasa MMU.
Siku hizi kapotelea wapi, maana simuoni tangu nijiunge JF.

Nimewahi kupitia post zake kiukweli alikuwa machachari sana.
 
Kweli kabisa, usipokuwa makini na maahadi makubwa makubwa kama hayo unajiingiza chaka mwenyewe, uongo lazima utumike kufanikisha haya mambo kwa kiasi fulani.

Ukiona anaanza kukwepa maswali juu ya jambo alilolisema ujue ni muongo
Watu wanaahidi uongo? [emoji3][emoji3]
 
Hahaaa. Mie ntajitolea Kaka sababu unapitwa na Vingi.

Sababu Urafiki, undugu, Ukaka, Udada, Uchumba, Uhasama unaunganishwa na PM maana ndio watu wanaanzia huko baadae wanahamia sehemu iliyo salama zaidi nje ya Jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Whatsapp
 
Yuko humu amekuwa Kingunge siku hizi, Ila michango yake ilikuwa ni moto sana na ilikuwa inapata wachangiaji wengi sana. Na alikuwa ana uwezo mkubwa hata katika jukwaa la siasa pia ingawaje baadaye akaamua kuachana nalo kama ulijualo jukwaa lile lilivyo na maudhi.

Siku hizi kapotelea wapi, maana simuoni tangu nijiunge JF.

Nimewahi kupitia post zake kiukweli alikuwa machachari sana.
 
Hiyo mbinu haiepukiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi ninavyochukia watu waongo. Uniahidi kunipeleka Karambezi halafu ghafla unipeleke Mk bar nilivyo kauzu nitakwambia bye.
 
Nilimusoma kwenye Interview ya Max aliyoianzisha King'asti baadae akaachiwa yeye aiendeshe ilikuwa nzuri sana japo maswali wadau waliuliza kabla.

Kwenye mpangilio wa maswali yale na kuvuta umakini wa hadhira ulidhihirisha kitu alichokuwanacho kichwani.

Kuna Mod anaitwa Asha Abdillah au yeye aliukwaa uMod?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…