Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli kabisa, usipokuwa makini na maahadi makubwa makubwa kama hayo unajiingiza chaka mwenyewe, uongo lazima utumike kufanikisha haya mambo kwa kiasi fulani.Ngoja waje watasema maana wengine mpaka walinialika five star hotel tukaongee!!! Shida ukimzunguka kidogo ukimtwanga maswali ya msingi majibu yanakuwa tata unajua tu kuwa hapa ninataka niingizwe chaka tu!!! Ukweli PM kuna mambo mengi sema kwa sheria za JF hatutakiwi kuweka hadharani yale mnayochat ila kwa kweli yanavutia sana na kuondoa stress!!!!
Ukiona anaanza kukwepa maswali juu ya jambo alilolisema ujue ni muongo