usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Ukikubaliwa unishtuejolie jolie vipi nije huko pm ?
kama nikija nitajibiwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikubaliwa unishtuejolie jolie vipi nije huko pm ?
kama nikija nitajibiwa ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yangu alipata A jamanSasa kushare mi ndo nlipata F, hiki kipengele labda niwe sjui,lakin najua kabisa nashare tena na wenzangu sio mwenzang[emoji23] anko wako akae tu pemben
achana naye huyo kashindwa masharti nahamishia koloni kwako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni kiss tu jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora ww[emoji3]mi kuna uyo mmoja sijui alkurupukia wapi,anakuja bila hata salamu eti kutom......ni raha[emoji3]
Nikajiuliza ni kisandu uyu au nani?
khaaaa ebo umevuta nini asubuhi hii ??Auntie yangu mwenyewe hana shida kwenye swala la kushare ana wake wenza wengi sana
Nimeng'oa hadi mlango ukifika we unapita tu mamaNakuja mpenzi.
Hapana me sikuwezi nina wivu mnoooo we kila sehemu una koloni siwezi hizo mamboachana naye huyo kashindwa masharti nahamishia koloni kwako
Hahaha, usijali bana, nitapita baadaye basi kusalimia acha kwanza nitafute girisiUlinishtua mnooo ukiona naongea hizo mambo ni zamani huko kabla sijafunga pm zilikua zinaingia tu kama maji kwa siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha kamwambie huu ujumbe huko huko ulipompa namba
Masharti hayo ya kishetani sitaki.timiza masharti upewe raha
acha umbea we nyau.Cc inna
Jaman
Sijawahi kujua halafu. [emoji3][emoji3]Ile corridor ya PM si mchezo...
Hivi PM unaweza kuedit ujumbe kabla mhusika hajausoma au ukishamwaga maji hayazoleki?
Niliamua nikusamu kwa namna hiyo tu dadaHahaaaa. Kama sijakuelewa Kaka. Wapi huko?
Ko umemlipizia?huoni kaniita nyau
PoaHahaha, usijali bana, nitapita baadaye basi kusalimia acha kwanza nitafute girisi
Huku n njema kabisa tunapambanaHuku salama kabisa aisee namshukuru Mwenyezi Mungu. Sijui huko?