Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Sema pm kuna mengi. Kuna mtu hata usimpojibu atakuja tena kesho na kesho kutwa. Kuna mmoja huyo alinisalimia siku ya kwanza nikarespond. Baadae nikaacha kumjibu msg zake alichoniandikia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Eti bahati yako nilitaka nikutie kama nilivyomtia ......... mpaka akaumwa. Akasema alimtia siku mbili. Nilichekaa hadi nikamjibu tu ili anielezee huyo member walitiana vipi. Akasema we muulize tu anaujia mziki wangu. Pm kuna vichaa wengi sana
duh,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah, hayo mambo ya kichwa kichafu, yupo hapa, atoe mauzoefu yake
 
Mimi kuna mmoja nimemPM tokea 30/1 hadi leo hajapata nafasi ya kujibu ila sijasumbua mademu, soon nitaanza kuwasumbua hadi waniblock wote ili niachane na PM
 
sikia wewe utakua hujui kama unashare
kwanza huyo Shunie ni muongo
anko wake namjua long time kitambo macho yake kama mwizi mwizi unaweza ukaona anacheka kumbe amekasirika

niamini mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom